Mzee mwenzangu sijamuelewa kabisa mtoa post, nikaona nimpe ujiko, ila sio yeye tu, hata wale wanaosema tuliyochukua sio ya EPL kwasababu jina lilibadilika nawaambia tu kwa kisambaa YOU ARE RIGHT, yaani kwa kitaliono tunasema WANA AKII ZEAWA MWE NTIIIkwani wakati Liverpool anachukua hilo Kombe la COVID Man Utd walikuwa wameacha kushiriki EPL au
Sawa dogo,Tunachukua FA na UEFA mark my words.
Hizi huwa zinaambatana na lossesArne Slot’s Tactical Revolution: How Liverpool Became the Blueprint for Modern Football
Liverpool’s transformation under Arne Slot is more than just a managerial shift—it’s the redefinition of how modern football is played. In a recent PanenkaLFC episode titled How Arne Slot INGENIOUSLY Invented Football’s New META!, they take a deep dive into Slot’s influence on Liverpool, painting a clear picture of how the Dutch manager has orchestrated a tactical evolution that’s capturing the Premier League’s imagination.
Aje nani?DIAZ + NUNEZ +JOTA.
Nunez hawezi kufunga magoli yakutosha for a team inayopigania ubingwa.
Diaz ni Too inconsistency huelewi ata turn up muda gani.
Jota Fantastic player lakini you just cannot trust him to stay fit for more than a couple of games.
LFC tunahitaji ku fix this in the summer ,Tunahitaji proper attacking rebuild View attachment 3233696
MsomaliAje nani?
😛😛😛😛😛😛 Yanni jamaa unaongea kama vile mnamiliki mataji 13 ya ligi kuu tangu mwaka 1992 kumbe ni moja tu tena mlilipata wakati wa COVID 19. Sasa hiyo winning mentality huwa inawasaidia nini?
Tuwe wakweli kwa nafsi zetu, nafasi mliyopo kwa sasa hata ninyi hamkuitegemea bali imebebwa na form mbaya ya timu kama chelsea, man city na watoto wasiojua kushinda mataji arsenal!
Tofauti na hapo sioni maajabu ya maana sana toka kwa Slot ila narudia kusema ni zali tu limemkuta huyu jamaa.
Basi alikuwa Manyanza 😀
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.
Kwangu mimi huwa naona bora niishie 16 boraMimi Kocha akishindwa kucompete from the start huwa sina shida sana.
Lakini linapokuja suala la bottling kama alivyofanya Benitez, Rogers na Klopp twice huwa sikubaliani nalo hata kidogo.
Hujawahi kuwaza revenue gains za Timu ?Kwangu mimi huwa naona bora niishie 16 bora
Kuliko kufika fainali nikakosa kombe huwa inauma sana
Kwangu mimi huwa ninatumia hisia sana linapokuja suala la LiverpoolHujawahi kuwaza revenue gains za Timu ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti na wala hatuna stress yoyote.Basi alikuwa Manyanza [emoji3]
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.