Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Beauty of UK football pyramids.Poleni title contenders wenzetu. Tuliwaaibisha sana kwa kufungwa na kutolewa na katimu tulikokazidi uwezo. Tukajua kuwa nyie hamuwezi kukutwa na noma hii. Tena kwa katimu cha daraja la mbali huko. Kumbe tumewaza sivyo...
Jamani. Si mlikuwa mnasema wenyewe humu kuwa Slot apewe muda, anajenga tu timu, makombe ni majaliwa....Yani no excuse kwenye uzembe wa jana.
This is the second mistake for Slot this season.
Ya kwanza ni against Forest ile ya Away.
Ya pili ni ya jana! Mistake yoyote ambayo inasababisha kupoteza kombe ni unacceptable.
Kamfuata Gomez.This man nini kimemkuta. Was excellent last season nilitegemea a big step forward,This season ana struggle haonekani kama ni best option tena kwa season ijayo .View attachment 3230887
Jamani. Si mlikuwa mnasema wenyewe humu kuwa Slot apewe muda, anajenga tu timu, makombe ni majaliwa....
Leo mnakuwa wakali baada ya kuona uwezo wa kushinda ni mkubwa hivyo hamstahili chini ya makombe manne?
Timu ambayo ikipoteza mchezo, mashabiki wake hawakosi sababu ya kwanini imefungwa, ni liverpool FC.
Hivi mnaona sisi tunaopoteza games tunapenda!
Timu ambayo ikipoteza mchezo, mashabiki wake hawakosi sababu ya kwanini imefungwa, ni liverpool FC.
Hivi mnaona sisi tunaopoteza games tunapenda!
Liverpool's physical metrics in the Premier League this season (per 90):
• Total distance covered: 20th
• Average speed: 15th
• High-speed running distance: 9th
• Sprinting distance: 3rd
The stats above point out to the fact that Liverpool's controlling games better these days and everything seems to drive towards efficiency. They sprint and run when it's needed!
Arsenal ranks 3rd for distance covered this season. This possibly points out to why they have more injuries than Liverpool. Under Klopp, Liverpool had lots of issues with injuries because of that high intensity football but Slot has turned the tide around.
BEN Football Theatre
Kushangilia liver Kutolewa FAKuna watu humu walikua washaanza kuwaza quadruple eti 😂😂
Nadhani wewe ulikuwa mmoja wao. Nadhani kuna siku ulinipiga bonge la reply kwa lugha rasmi ya jukwaa la Liverpool (English) ukielezea jinsi ndiyo kwaanza Slot anajenga timu. Au sijui ulisema transition...?Uwe unawatag waliosema.
Anayepewa Muda ni Amorim na Yule mwehu wa Chelsea kwasababu ndiyo wanaotengeneza Timu.
Lakini Arsenal na Liverpool hazipo kwenye building phase ni Timu ambazo zimeshatengenezwa hivyo Kocha anatakiwa kudeliver tu si venginevyo.
Makocha wa hizi hawana excuse yoyote kwenye kufeli kudeliver na wala si wa kustahamiliwa kwenye hili.
Sashivi hawatengenezi timu bali wanafanya adjustment tu kwa wachezaji.
Nadhani wewe ulikuwa mmoja wao. Nadhani kuna siku ulinipiga bonge la reply kwa lugha rasmi ya jukwaa la Liverpool (English) ukielezea jinsi ndiyo kwaanza Slot anajenga timu. Au sijui ulisema transition...?
Sisi kwa squad depth yetu hizo treble sijui quadrop ni ndoto za alinacha
😛😛😛😛😛😛 Yanni jamaa unaongea kama vile mnamiliki mataji 13 ya ligi kuu tangu mwaka 1992 kumbe ni moja tu tena mlilipata wakati wa COVID 19. Sasa hiyo winning mentality huwa inawasaidia nini?Ndiyo ujuwe kuwa mentality ya Liverpool ni tofauti na Timu nyengine.
Sisi Liverpool tuna winning mentality ndiyomana tunachukia sana kufungwa na tunahesabu kama ni jambo lisilokubalika.
Lakini nyinyi na Timu zenu muna Loser Mentality hivyo hakuna shida yoyote kwenu kufungwa na kujifariji kuwa Mpira una matokeo matatu.
Hapa sisi mpira una tokeo moja tu! Kushinda basi.
Usiposhinda hayo matokeo mengine wewe ni mwehu.
You are right😛😛😛😛😛😛 Yanni jamaa unaongea kama vile mnamiliki mataji 13 ya ligi kuu tangu mwaka 1992 kumbe ni moja tu tena mlilipata wakati wa COVID 19. Sasa hiyo winning mentality huwa inawasaidia nini?
Tuwe wakweli kwa nafsi zetu, nafasi mliyopo kwa sasa hata ninyi hamkuitegemea bali imebebwa na form mbaya ya timu kama chelsea, man city na watoto wasiojua kushinda mataji arsenal!
Tofauti na hapo sioni maajabu ya maana sana toka kwa Slot ila narudia kusema ni zali tu limemkuta huyu jamaa.
You are right
Huyu aliyekujibu sio mimi, nadhani hata wewe unajua mimi post zangu si za kubishana au kujibu jibu watu ovyo.
Pia post zangu sio za kumuongelea Slot kwanza simjui kwa chochote huko alipotoka.
Pia Slot hatengenezi Timu bali anatumia Tumu iliyotengenezwa na Klopp! Ukiniambia anatengeneza mfumo wake mwenyewe wa uchezaji hapo nitakuelewa lakini sio kutengeneza Timu.
Msimu huu asingeshinda chochote kwa kuanza kuyumba tokea mwanzo wa msimu ningemuelewa kwasababu ni mpya wachezaji wanaingia kwenye mfumo mpya.
Lakini EPL anaongoza, Carabao yupo Fainali hivyo asiposhinda sasahivi basi hiyo ni bottling na atapaswa kuwajibika.
Tunachukua FA na UEFA mark my words.Kushangilia liver Kutolewa FA
Ndio kombe lenu msimu hui mwacity fc
Vinginevyo, mtapata kikombe Cha alkasusu tu mkachanje mbuga huko conference.