Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Utakuwa mchezo mgumu dhidi ya Bournemouth lakini naamini katika Spirit ya wachezaji wa Liverpool hasa hasa kipindi hiki ambapo radar ya ubingwa ipo upande wetu
 


Ndio kusema 🀣🀣🀣

Real Madrid na Manchester City mmoja wao habari itaishia nafasi hii ya Play off maana anatakiwa mmoja tu kutinga hatua ya 16 Bora , hii inaenda kuwa final ya UEFA champions league play off.
 
Final before final πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“bring its... The game is on.

YNWA
 
Kesho anabamizwa, Man City wa moto asaivi ni balaa, sijui kama hata sisi tutatoka hata suluhu.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha abamizwe tu tuzidi kuongeza gap mpaka tuje tukutane na city si ajabu arsenal atakuwa kashaangusha tena point kwingine.
 

Mohamed Salah in the Premier League this season:
β—‰ Most touches in opp. box (259)
β—‰ Most goals + assists (34)
β—‰ Most goals (21)
β—‰ Most big chances created from open-play (17)
β—‰ Most assists (13)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…