The MoNA Wana Liverpool wote
Mimi ishu inayoniumiza ni Performance ya Robbo aisee amekuwa anafanya blunders kibao zinazo sababisha magoli au yeye kulambwa Kadi. Sijui Slot anamsaidiaje? Maana huyu nae amekuwa na sisi nyakati nyingi mbaya na nzuri tumekuwa naye na ukizingatia pale AXA training yeye ndio Comedian na gossiper wa timu. Je kuna namna ya kumsaidia ili asiwe anasababisha makosa? Kama vile ambavyo mara nyingi Konate amekuwa akifuta makosa ya TAA? Kuuzwa sio haki kabisa. Je awe ni back up ya beki mwingine atakaye sajiliwa? Baada ya Tsmiskas kuondolewa?
Ishu ya Robbo nafikiri ni wakati wa kufanya maamuzi magumu. Ama klabu au yeye.
Yes he is our Legend, lkn option ni mbili ama akubali kuwa back up au aondoke mazima. Kwa sababu kuwa back up kwa mtu kama Robbo still atakuwa strong candidate kucheza incase of injuries, suspension and unfortunately huyo atakayesajili je asipo click?? Antone Robinson naona ni perfect Robbo replacement.
Sometimes maisha hayahitaji huruma, si huruma inazaa dhambi?? Klopp angeondoa huruma kwa kina Ox, Milner, Keita, Thiago angelibeba atleast 3 EPL & 2 CL. Huruma yenye kiasi na yenye muelekeo chanya ndio inayotakiwa.
He is our legend yes.!!! Lkn jiulize hiyo huruma akionewa na klabu makosa yake yakatugharimu itakuwa na msaada??
Do you think errors anazofanya ni coachable kwamba apewe muda?? No he is on 30’s hana cha kufundishwa ni yeye mwenyewe kuongeza umakini and not umakini pekee utamsaidia but he lacks technical issues.
Ile nafasi inahitaji mguu wa kushoto wa maana. Robbo ni mzuri mkitumia high pressing game, akicheza mbali na goli lake. Atleast season iliyopita timu ilicheza mbali na goli, though alikua na errors bado, season hii zimeonekana kwa sababu timu inacheza karibu na goli lake, thats why makosa yake msimu huu yanaigharimu timu.
Mechi vs Westham alifanya kosa ambalo walikosa ufanisi tu.
“Success are for ruthless men”
I will take New LCB & Tsimi and open a door for Robbo (My opinion).
Ynwa’