Zikifika 7 nitalewa sana leoSalaaaaaaah😹😹😹🫡🫡
Mimi nataka mechi game imenikutia job baabake😹😹Zikifika 7 nitalewa sana leo
Cheki onlineMimi nataka mechi game imenikutia job baabake😹😹
Nipo liveCheki online
Naam enjoy brotherNipo live
Hawa TOT ni wakuwapiga Saba hawa
Sijui una hali gani huko ulipo.🤔Kuku broiler wameshapoteana 🤣🤣🤣
Leo ndio mwisho wenu kukaa kileleni ubwa nyie😎😎😎😎
Hakuna kocha kutoka uholanz amewahi kufanikiwa EPL 🤣 washika
Eti mnadanganyana EPL mnachukua kwa kocha yupi? 😎😎😎😎😎
Leo mnakutana na jogoo tasa kutoka London lazima mtage chotara
Kuku broiler 2- 4 jogoo tasa 😎😎😎
😀😃😃Sijui una hali gani huko ulipo.🤔
Duuuh! Unafeli mwambasaraaaah
Hata ukabaji wa VVD hauridhishi, akipitwa tu anasimamaMwalimu asipokuwa makini na robertson atakuja kutumaliza makosa sasa yamekuwa kweupe tushukuru biashara ilifanyika alfajiri!