Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

January Man City tunaziba viraka na baada ya hapo ni vichapo mfululizo kwa yeyote yule atakayekuja mbele yetu kwahiyo hakikisheni mnetuacha pointi za kutosha la sivyo mtaishia kuwa runner-up.
Kwani si linaeleweka hili ?
Man city na Arsenal ndio wanaogombea ubingwa ?
Liverpool ipo kwenye transistion sasa hivi. Usiiweke kwenye tittle race kabisa
 
LADDER48.png
 
🔥 🔥 Salah katika ubora wake. Kombora hilo kwa FSG na uongozi pale Liverpool yaaani huyu dogo anajua kutetea ugali wake..
Haya over to you Edwards.

YNWA

🔥 🔥 Salah katika ubora wake. Kombora hilo kwa FSG na uongozi pale Liverpool yaaani huyu dogo anajua kutetea ugali wake..
Haya over to you Edwards.

YNWA
hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom