Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kukulism niaje 😆🤣
FB_IMG_17128743443393740.jpg
 
Hii timu kuna haja ya kuvunjwa vunjwa na kuijenga upya. Endo mwenyewe kuna kipindi anakaza sana yaani anakamia mechi ila kuna kipindi anakuwa mlaini
 
Klopp akili Hana aisee yaani mbinu zimefika mwisho aondoke kazi imemshinda
 
Akili ya klopp imeshazeeka tukubali tu pale hamna jipya aondoke tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom