Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Buvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...I was contemplanting a while ago about the best possible replacement for Klopp. My mind couldn't even picture a single soul. But after a while this name popped up in my thoughts, Zljeko Buvac (The Brain).
What if we give the team to Pep Lijnders and Buvac? Captain Marvelous King Ngwaba MosDef The MoNA
Pep Ljinders hua anapewa sifa zote na Klopp kiasi kama huyu babu Klopp angeulizwa design kama Fergie wakati anang'oka Man Utd angesema tu Pep L anatosha pengine.. Kitendo wanaodoka wote wasaidizi wa Klopp ni kama vile kuna shavu lipo mahala aisee kama sio Real Madrid, Bayern, BVB au Barcelona ndio timu naona akitua au Timu ya Taifa Ujeremani au Brazil muda utasema ataishia wapi.
Kwa Liverpool hapa kazi ilishaanza tangu November 2023 kusaka mridhi wa Klopp hivyo tuwe na subira. Majina ni mengi sana yanatajwa naamini wanao muda wa ku profile kila mmoja na kupata atakaetupeleka mbali zaidi ki ushindi.
YNWA
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool will part ways with director Jorg Schmadtke next week 

It’ll be 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 𝐫𝐞𝐯𝐨𝐥𝐮𝐭𝐢𝐨𝐧 next season with new director, new head coach and new staff in July 2024!

na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho 