Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Mwamba Ramsdale mkamvalisha Black ili tumuone ninjaMbona unachunguza kila kitu chetu? Wewe ni mpelelezi?
Namna gani pale
Ninja kapigwa chenga na Lucho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba Ramsdale mkamvalisha Black ili tumuone ninjaMbona unachunguza kila kitu chetu? Wewe ni mpelelezi?
Nyekundu bila vikombe ni waganga wa kienyejiSisi ndiyo timu ya kigentleman inayovaa nyekundu. Timu zingine zinazovaa nyekundu ni vikundi vya wahuni tu. Acha tubaki nayo hii nyekundu tuiheshimishe maana wengine wanauchafua tu

Acha kujaza uzi wenu picha za kijingaMwamba Ramsdale mkamvalisha Black ili tumuone ninja
Namna gani pale
Ninja kapigwa chengaView attachment 2866063
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya Ramsdale lazima niwekeAcha kujaza uzi wenu picha za kijinga

Nyukundu bila vikombe ni waganga wa kienyeji
Kiwigi anatoka kwa huzuni
Mafanikio yake ni kumaintain kiwigi kizuri kichwaniView attachment 2866065
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwigi amepandisha wazimu😂😂😂View attachment 2866071
Ona anavyotukana 🤣🤣🤣
kabisa anakuja maliza carie yake na maumivu bora aiyemchukuaWazungu wana ujinga mwingi sana wanaweza kukugeuza kama Emmanuel Eboue.
Bora alivyochukua Mbantu mwenzetu ili awe salama.
Hongera zake. Kapata chaguo lake sio bure hakua na haraka na hili jambo.View attachment 2865953
Mwamba kaangukia hapa 😂😂😂
Ndio alikaa akafika akaoza akatuliaaHuyu yupo uchi uchi hivi na Ustadh Mane wapi na wapi
Angempasua kichwa Mane wetu.