MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
tunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)
Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
said it.....we lost two easy pointshiyo ya arsenal nayo ni a must win game maana unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu
-Mwanangu szobo sijui wamempiga misumari aisee






