






Nazidisha chocolate

ikupalie hadi uhamie group letu

.
Choculate tu umepata, na rojo
Mimi tunavyotofautiana mitazamo hivi naenjoy



Kuna vibe napata yaani
Vikombe vinakaaje kwenye sinia bila kugongana..
Tungekuwa wote na mitazamo sawa aisee kungepoa kama maji ya mtungini.
Imagine wote tungekuwa na mtazamo kama wa MosDef kwamba Trent bangi imemkolea

Trent asingekuwa na chake
Ama wote tungekuwa na mtazamo kama wa kwangu kwamba Nunez fungu la kukosa...
Maskini katoto la watu toka vijijini Uruguay kangepauka.
Ilaa angalau wapo wa kumdiss mtu, wapo wa kumuunga mkono.
Yaani full vibe Uzi unanoga,,, kila nikichungulia naangalia mmeandika nini nicheke.