Mkuu hua inauma siku ambayo nililia ni siku Ile tumefungwa na Chelsea kipindi cha stive G na suarez... Acha Tu nililia Sana lakini Jana niliumia vibaya Spurs tulikua tumewashika Ila sio mbaya still we've a chance... Msimu badoVile Matip Alivyoshika Kichwa Nilishika Nae na Wote tukainama. Sijui Kama Nilishawai jiskia ivyi kwenye Mpira Labda Kipindi Simba tunatolewa na Jwaneng.
Kuwa mwanasport achana na hizi Mindset.Toka mwanzo nilikuwa na mashaka na Matip
Pumbavu sana[emoji706]
Kwahiyo ukiwa na hela sasa usifurahie kisa kesho utafirisika?Washabiki wa Arsenal nao wamekuwa watembeaji wa kila Jukwaa kuleta Trolls zao due to their current performance! They pretend their difficulties will not commence sooner or later.
Magolikipa sio wachezaji?Uogoro gani? Ukitoa Magolikipa wa pande zote mbili kwenye Pitch wanabaki wangapi?
Ha ha ha ha haya inanikumbusha game zenu akichezesha Michael Oliver lazima vilio vitawale darajani.Naungana na PGMOL kuwashukuru Kwa kuwa waungwana makosa kama haya ndio TU vitu vitu vinapelekea football kupendwa zaidi, Leo kwako kesho kwangu ,Kuna siku itawatoke SPURS .
Inaumiza but ndio football wazeeView attachment 2768175
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii sio bure kuna jambo hapa... Tusije shangaa ikawa kama ule msimu wa 2021 2022 mechi ya Manchester City vs Everton Rodri alikwepa kimuujiza kutoa penati huku akiwa "ameshika" mpira.... Haya makosa ya VAR ikiwa pointi zimefungana yanatia sana hasira
YNWA
Wazungu hapa ndipo nawaona wapumbavuView attachment 2767936
Hivi hii VAR mbona miyeyusho sana walishindwa nini pale kuchora vile vimstali kuona kama goli la Diaz ni offsides aafu hapa wanajitokeza eti kuomba msahamaha kwa makosa yao yaaani like serious kweli bado VAR inatugharimu mchana kweupee.
YNWA
Msamaha kwenye hili hauna maana kabisa ni bora ingekua 1 mistake angalau per season tazama hapo chiniWazungu hapa ndipo nawaona wapumbavu
Kabisa ndugu leo sisi kesho wao... Ila hawa jamaa wana bahati sana na sisi yaaani last season tena Harry Kane alinyimwa red ya wazi wazi nwa mechi bado zipo nyingi tu.Inaumiza but ndio football wazee