Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,410
- 17,866
Kwani amewahi kuwa na akili yule? [emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne umemaikia aliyewahi kaptein wako?
Anaona kaonewa, kahujumiwa hajajaaliwa. Jamaa alitakaa abembelezwe apate game time kama vile yupo 26yrs.
Hapo game time Klopp akatia nyundo akamwambia huwez kuwa regular starter anymore.
Na hapo ndio mahali nawaambia baadhi ya watu ucaptain wake utafunikwa mara moja licha ya mataji aliyobeba. Itokee TAA akanyanyuwa makwapa hata EPL tu atamfunika jamaa sana
Hayana maana kwenuKwa mujibu wa gazeti la the sun, wakinukuliwa na goal.com, club ya Al ittihad ya Saudia Arabia wameongeza dau toka 150mls mpaka 215mls ili kumpata egipytian king Mo salah. Hili dau ni kubwa jamani kwa mchezaji aliyetumika na club kwa zaidi ya misimu 6. Liverpool wachukue hii hela.
Mambo ya sijui mbadala wake, hayana maana kwa kiasi hicho cha fedha. Real Madrid walimuuza CR7 kwenda Juve kwa 100mls akiwa na miaka 32 kama sio 31. Salah kwa sasa ana 31. Club imuuze wapate hiyo pesa tutanunua mbadala wake january.
Dirisha la January tu tunanunua mbadala na beki chenchi ikibaki tunaenda kenywa soda kwa Mangi.Kwa mujibu wa gazeti la the sun, wakinukuliwa na goal.com, club ya Al ittihad ya Saudia Arabia wameongeza dau toka 150mls mpaka 215mls ili kumpata egipytian king Mo salah. Hili dau ni kubwa jamani kwa mchezaji aliyetumika na club kwa zaidi ya misimu 6. Liverpool wachukue hii hela.
Mambo ya sijui mbadala wake, hayana maana kwa kiasi hicho cha fedha. Real Madrid walimuuza CR7 kwenda Juve kwa 100mls akiwa na miaka 32 kama sio 31. Salah kwa sasa ana 31. Club imuuze wapate hiyo pesa tutanunua mbadala wake january.
Mimi sifanyi maamuzi. Yalikuwa maoni. Ila Salah sio yule wa misimu miwili iliyopita. Wallah hata akiondoka hatuwezi kuona pengo lake...Hayana maana kwenu
Nyie msituponze
Hizo hela wangeleta mapema.
Sasahivi hatutaki. Salah ni muhimu kuliko hizo pesa.
Utashinda mechi ila sio makombe with like of Gakpo infrontUnaongelea timu ipate injury crisis ndo aingie?! Wakati Msimu wa kwanza kwake tumeshinda Mechi nyingi tukiwa nae Kama regular starter kule mbele. Angekuwa Hana threat yoyote angesugua benchi. The Fact is Klopp anafanya rotation katika start up 11 ili kuwa na kikosi hatari zaidi na kuendana na aina ya mpinzani anayekutana nae... hushangai Pale City Silva anakaa benchi mda mwingine kwani Hana threat kwa mpinzani?!.
Nikukumbushe tu Pia LFC vs Manure 7 -0 , Leeds kala 6 with Gakpo upfront.
Mwenzako Halaand as CF, wewe unamchezesha Gakpo as CF, huwezi ambulia chochote, ndio maana klopp kashtuka hamchezeshi tena CFKumchezesha Gakpo as RCM ilimlazimu Klopp mechi zile mbili. Na unaona vs Newcastle Gakpo alicheza as CF.
Consistency si inaanza kwa kuaminiwa mkuu!!! Ni hivi Klopp ana shida kwa kuwaamini vijana. Alimwamini TAA tu na mpaka sasa amekuwa regular stater wake.Anyway utofauti wa mawazo haupingiki.
Lakini mkuu kuwa serious Elliot for Salah?? Doak for Salah?? Its not about kuaminiwa its all about consistency.
Huwezi kubeba makombe bila kushinda.Utashinda mechi ila sio makombe with like of Gakpo infront
Sijawahi kumkubali huyu mbaguziSaint Anne umemaikia aliyewahi kaptein wako?
Anaona kaonewa, kahujumiwa hajajaaliwa. Jamaa alitakaa abembelezwe apate game time kama vile yupo 26yrs.
Hapo game time Klopp akatia nyundo akamwambia huwez kuwa regular starter anymore.
Na hapo ndio mahali nawaambia baadhi ya watu ucaptain wake utafunikwa mara moja licha ya mataji aliyobeba. Itokee TAA akanyanyuwa makwapa hata EPL tu atamfunika jamaa sana
Watu wanaleta masihara sana [emoji23]
Kwani amewahi kuwa na akili yule? [emoji23][emoji23][emoji23]
Muache atapetape
Debe tupu haliachi kutita.
Cha muhimu ameondoka,
Hapa nasubiri Bobby aje tukajipongeze kwa kumg'oa Babu Hendo.
Hayana maana kwenu
Nyie msituponze
Hizo hela wangeleta mapema.
Sasahivi hatutaki. Salah ni muhimu kuliko hizo pesa.
Consistency si inaanza kwa kuaminiwa mkuu!!! Ni hivi Klopp ana shida kwa kuwaamini vijana. Alimwamini TAA tu na mpaka sasa amekuwa regular stater wake.
Embu angalia kitu Xavi anachofanya pale barcelona. Ana madogo kibao tu kaamua kuwaamini. Wanapiga mzigo balaa. Elliott ana uwezo mzuri tu. Hiki hapa chini ni kikosi cha barcelona kitakachocheza UCL msimu huu.
MView attachment 2740201
Huwezi kubeba makombe bila kushinda.
Mwenzako Halaand as CF, wewe unamchezesha Gakpo as CF, huwezi ambulia chochote, ndio maana klopp kashtuka hamchezeshi tena CF
Halafu tukipata hiyo 200Wao wanaona 200 zaidi ya hapo hawaoni
Akili hana [emoji1787][emoji81] kapoteza dira