Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mimi ni mshabiki wa Arsenal ila game za Liverpool zote lazma niangalie kwasababu ya ile midfielder SZOBOSLAI
.....napenda playing style yake,defensive role anaifanya kwa makini sana, ana uwezo mzuri wa kufanya quick interceptions,upigaji wake wa pasi mzuri sana na ana footwork nzuri kwahyo ni rahisi kukuhukumu akiwa kwenye final third ya opponent.
 
You will see brother it will tena mara nyingi tu na actually haijafa alichofanya Nunez vs Newcatle ndicho kikamshawishi Klopp kumuanzisha mechi ya juzi na kama mechi ile ingelala au kuisha sare tegemea Gakpo angeanza tena mechi ya juzi.
 
Umejibu vyema mkuu kwa REJEA
 
Chukueni pesa nzuri kwa wasaudia £200m,huku mkiwa na risk ya kustruggle au ikataeni muonekane wapuuzi

Ila £200m nyingi Sana kwa mchezaji ambaye ana 31+
 
Incase team ikapata rhythm nzuri tutasumbua na vile hatupo CL basi Klopp hana presha kubwa msimu huu.
 
Chukueni pesa nzuri kwa wasaudia £200m,huku mkiwa na risk ya kustruggle au ikataeni muonekane wapuuzi

Ila £200m nyingi Sana kwa mchezaji ambaye ana 31+
Nimesikia fununu za mbape kupenda kuchela lfc kama kuna uhakika wa pre agreement na mbape ndio replacement pekee ya salah
 
Nimesikia fununu za mbape kupenda kuchela lfc kama kuna uhakika wa pre agreement na mbape ndio replacement pekee ya salah

[emoji81][emoji81] mbappe kucheza LFC. Bora ni fununu.

Mbappe ukimpasua ubongo kwa sasa utakuta “kucheza Madrid” hana habari na Liverpoolfc

Kwanza mshahara tu hatuwezani nae.
 
Saint Anne umemaikia aliyewahi kaptein wako?

Anaona kaonewa, kahujumiwa hajajaaliwa. Jamaa alitakaa abembelezwe apate game time kama vile yupo 26yrs.

Hapo game time Klopp akatia nyundo akamwambia huwez kuwa regular starter anymore.

Na hapo ndio mahali nawaambia baadhi ya watu ucaptain wake utafunikwa mara moja licha ya mataji aliyobeba. Itokee TAA akanyanyuwa makwapa hata EPL tu atamfunika jamaa sana
 
Chukueni pesa nzuri kwa wasaudia £200m,huku mkiwa na risk ya kustruggle au ikataeni muonekane wapuuzi

Ila £200m nyingi Sana kwa mchezaji ambaye ana 31+
Mngemuuza CB wenu Gabriel kwenda Saudi kwanza mpate pesa huku mki-struggle kwa kufungwa Hovyo. Unaongea upupu huku mliweka Zuio la nguvu Gabriel asiuzwe mngeachia mapaja Sasa pesa si tamu kwa wote?!.
 
Chukueni pesa nzuri kwa wasaudia £200m,huku mkiwa na risk ya kustruggle au ikataeni muonekane wapuuzi

Ila £200m nyingi Sana kwa mchezaji ambaye ana 31+
Hichi kitu nilikisema mimi watu wakaanza kuongea, niliwaambia tuichukue Elliott na Doak wapo na waaminiwe tu.
 
Hichi kitu nilikisema mimi watu wakaanza kuongea, niliwaambia tuichukue Elliott na Doak wapo na waaminiwe tu.

Anyway utofauti wa mawazo haupingiki.
Lakini mkuu kuwa serious Elliot for Salah?? Doak for Salah?? Its not about kuaminiwa its all about consistency.
 
Huyu ana jealous sababu Klopp amekataa Salah kuuzwa. Anajihisi yeye hakuna mtu ( hasa Klopp na FSG) aliyemuhitaji hapa ndo Main point. Kama anataka kutunziwa heshima yake kwa Fans wa LFC basi afunge bakuli lake maana anazidi kushusha Brand.

Kabisa mkuu. Bora kukaa kimya abaki kuwa legend vivyo hivyo, otherwise atashushwa vyeo vyote SOON. Kwanza Szobozslai ameshaanza kutupa vitu MF walishindwa kutuonesha for long now.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…