Hoja ujibiwa kwa hoja masta‘Bila kombe lolote’
Mkilewa wanzuki zimeni simu
Kachukua mikoba kabisa huyu, [emoji23][emoji23] na utashangaa game ijayo anaanza wakati niwakutokea bench huyu [emoji23][emoji23]Anarithi mikoba ya Origi
Asante kwa kunielewesha kuliko anaetoa maneno makali [emoji23]Mfumo umebadilika Diaz hawezi kucheza kiungo ya ndani Ukocha ni Professional.
Kubadilishwa position sawa ila hivyo vingine hapana aisee Dogo ana contribution mno kwenye Attacking methods zetu.TAA mechi ya pili mfululizo anafanya makosa binafsi yanayoenda kuzaa goli
Huyu mchezaji ni either
Abadilishiwe positio
Awekwe benchi
Ama auzwe tuu
La sivyo ni vipigo tuu kila mechi
CrapKocha ni msenge analea ujinga ili Salah asiondoke huu ni upuuzi wa lami.
CrapNyinyi makubwa jingaView attachment 2730645
UtotoIn fact, Just SACK him
Bring Michael Edward Back, Give him full Autonomy. Let him pick the New Manager.
Na hili swala la kumcopy pep ndio linalotaka kuicost arsenal kwasasaKlopp won trophies against Guardiola, kwa kutumia systems & shapes zake, 433/4231/442, last few months tulikuwa tuna-struggle sana kwa kuwa profiles tulizokuwa tunazitumia kwenye hii mifumo zili-drop massively in quality (Fabinho, Henderson, Milner, Ox), but having Szo & Macca is a good start.
Huwezi ku-compete na Guardiola kwa kum-copy, just play your own game, game ambayo you're so good at, game ambayo imekupa kila aina ya makombe.
Just give Szo, Macca, Nunez, Salah, Jota, Gakpo, a bull/dog in the MF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hili swala la kumcopy pep ndio linalotaka kuicost arsenal kwasasa
Arteta anacomplicate bure mpaka kumchezesha partey kama left back
Leo Mambo mawili yatatokea St James Park
Na hapo sasa rebuilding ya Liverpool ndiko itaanzia hapo
- Newcastle atamfunga Liverpool
- Salah atacheza mechi yake ya mwisho kama mchezaji wa Liverpool
Hoja ujibiwa kwa hoja chief ukiona umeanza kudili na mtoa hoja badala ya hoja yake ujue unapotea‘Bila kombe lolote’
Mkilewa wanzuki zimeni simu
[emoji38]Nakusalimia Mbwa [emoji2772]