Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Si tulikubaliana Captain akimaliza mkataba anaondoka,imekuwaje tena?
Fanya jambo basi amalize sasa mkataba wake tusisubiri tena🤓🤓🤓

Mie na The MoNA na Baba Swalehe tunaomba hii kazi ngumu uimalize dirisha hili arudi huko Sunderland akawa push EPL...

By the way FSG wamefanya jambo limenifurahisha haswa yaaani kumbe Klopp alitaka Milner abakie Liverpool lakini ma bosi wake wakampiga brake chap sana yaaani hawakutaka kusikia bla bla za Klopp duuh how i wish na Henderson can face the same fate now now would be Xmas comes early

YNWA
 
😂 😂 😂 😂 Unajua msimamo wa Ligi kwa Benfica na Porto huko Ureno?


YNWA
 

Kabisa saint Anne atuharakishie mchakato.

Klopp kuna muda akili inakuwa ya Kuombea maji tu. Bobby alimuwahi akasema no. Ila Klopp alitaka Milner na Bobby wabakie. Kwa Bobby sina shaka bado ange offer ila Millie mmmmh

Klopp kalogwa na kulogeka.

Aise saint Anne fanya kummulika Klopp kama kuna venye wapo watu wawili ndani ya mmoja.
 
Klopp ni mwehu ujue!
Ina maana anaona Milner anastahili kubaki?
 
Natamani kumuona tena na Tena😭
 
Nimeshafanya Kwa Milner.
Nasubiri Captain Marvelous atimize ahadi yake kwanza,the tutaendelea.


Ila uchawi upo
Yaani Bobby anaondoka ila Hendo anabaki🤣🤣🤣🤣💔
 
😂 😂 😂 He was one of kind... His no look celebration, kung fu celebration, how do i serve you celebration 🎉 na nyingi nyingi sanaaaa.

YNWA
Abaki jamani😭
Nani ana namba yake tumbembeleze abaki😭

😍😋😋"how do i serve you celebration 🎉 na nyingi nyingi sanaaaa."
 
Kwani ukinipenda mimi shida iko wapi? [emoji23] Ila mm muuza bangi [emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…