Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Inasikitisha saana kwa kweliTukishinda mechi zote..?? Wakati umebakiza mechi moja tu epl
Acha utani bas mkuu
Afu eti Man utd afungwe mechi zake zote wakati yupo home
Embu be realistic mzee bachelor wa bandari fc [emoji23]
[emoji23][emoji23]Kwann sasaI love you more kijana mzuri
Huwaga nawaadmire wanaume madaktari[emoji23]
Mi mwenyewe Daktari eti [emoji24][emoji24]I love you more kijana mzuri
Huwaga nawaadmire wanaume madaktari[emoji23]
Naona jana Bobby Firmino amekujibu kwa kupata goli dakika za lala salama..Sub lazima afanyiwe Apende asipende
Hayupo pekeyake.
Hata wenzie akina Firmino na Jota huwa wanapata magoli hata dakika ya 90,kwahiyo siyo pekeyake anayepata magoli dakika za mwisho.
Mkuu hongera sana kwa ubingwa wa Uingereza.. Big up sana.Siku nyingi sijapita humu naona mmepona kideri.
Hivi wale ndugu zenu mliokuwa mnawatakia ubingwa mmeshafikia wapi?
Halafu kile kikombe mlichokua mnaturingishia miaka nenda rudi hatimae tunaenda kukibeba sasa.
Tunawaalika Istanbul mje mshuhudie soka la kibingwa.
Handerson hatakiwi kuwa kwenye t-shirt ya Liverpool msimu ujao
Useless player
Umeonakena Jamaa yangu kwema huko darajani.Matakataka mushakosa UEFA. Nyie munatofauti gani na sisi😂😂😂😂
Hendo Ni mshirikina kakaView attachment 2629549
Msome ndugu yako hapo.
Huyu anatembelea nyota za wengine hana jipya kabisaaaa.
Yaaani Klopp amwachie Henderson na Milner kwa wakati mmoja dirisha hili haha dhubuti haipo hio huyu tunaeeee sana sana sana kilichobaki kwake utasikia.. "whats a fantastic Captain he has been very vocal on n off field.." teh teh teh sasa tunahitaji numbers za blocks, interceptions, Clear cut passes, completed passes na kua mahala sahihi wakati muafaka nk hatutaki bla bla zake
Anguko la Klopp ni kua over confidence kwa hawa wazee wake Milner, VVD, Matip, Salah, Henderson, Fabinho
YNWA
[emoji123][emoji123]Mkuu hongera sana kwa ubingwa wa Uingereza.. Big up sana.
YNWA
Hii kazi ya kuodoa hawa wazembe nilimpa Saint Anne naona anachelewa sana mpaka Henderson anapewa mkataba wa kudumu Liverpool hakika tumekwisha..Ety Adrian anaongezewa mkataba wa mwaka mmoja. Hii timu imelogwa.
Bado ni Henderson captain wa LFC.
Hii timu imelogwa sio bure
Si tulikubaliana Captain akimaliza mkataba anaondoka,imekuwaje tena?Hii kazi ya kuodoa hawa wazembe nilimpa Saint Anne naona anachelewa sana mpaka Henderson anapewa mkataba wa kudumu Liverpool hakika tumekwisha..
YNWA
Kijiji hakikosi wazeeSi tulikubaliana Captain akimaliza mkataba anaondoka,imekuwaje tena?
Naumia sana kumuona hendo uwanjani hata basic passes za mpira hana
Kama ulivyosema huyu jamaa ana bahati na uchawi humo humo...Naumia sana kumuona hendo uwanjani hata basic passes za mpira hana