The owners man wanazingua mnoooo hawapo serious kuwekeza wakati sahihi maskini Klopp kila muda lazima asugue sana akili namna bora ya maximise output ya wachezaji waliopo aisee...
Wachezaji wengi especially elite talents wanapenda kwenda timu inayo challenge top trophies on yearly basis lakini pia wengine wanaangalia ubora wa kikosi na ndio maana wengi kabla ya kusaini hua wanaomba vikao kujua mkakati wa usajili wa timu upo vipi kwa sababu hawati kua wasidikizaji wengine wapate makombe...
Kule Ureno na Uholanzi wana vipaji wengi tu na kwa bei nzuri tu hivyo Klopp sio lazima anunue EPL japo tuna historia nzuri sana na wachezaji tulionunua hapa EPL wakiwa direct hit na major impact lakini ukiwa na bajeti ndogo ni vyema kununua nje ya EPL hakuna namna.
YNWA
😂 😂 😂 😂 FSG wanakopa kimya kimya aisee si bure... Hii ishu aliwai zungumza MosDef namna ambavyo FSG wananufaika empire yao na kumiliki Liverpool.Liverpool Taasisi kubwa, wakakope. Halafu cha kushangaza Standard Chartered benki kubwa, na ndiye frontline sponsor, ila cha ajabu hawawashawishi FSG wawakope kuwekeza.
YNWA.
Kukosa uwekezaji muda sasa ni jipu ndugu na pia kuanza kutoa mikataba ya muda mrefu kwa wachezaji walio 30+ ni bad investment kwa sababu Klopp anatumia mfumo wa high intensity ambayo inahitaji wachezaji wenye mchakamchaka fulani fulani... Ukitazama VVD, Henderson, Thiago, Matip, Milner nk uwezo wao kila kukicha unashuka kwa mwendo wa 4 g...[emoji81][emoji81]Inanikumbusha kipindi cha Wenger, alikumbana na hili.
FSG walizungua hapo 2019-2021 kutotoa peaa ya maana. Ndio imefikia Jones, Milner wapo kikosini bado.
YNWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] FSG wanakopa kimya kimya aisee si bure... Hii ishu aliwai zungumza MosDef namna ambavyo FSG wananufaika empire yao na kumiliki Liverpool.
Hakuna benki wala taasisi ya fedha itagoma kuwakopesha ela Liverpool ila wenyewe wanasema eti klabu ijiedeshe yenyewe kwa faida kuanzia kununua wachezaji, kulipa mishahara nk aafu wao wawekeze kwenye miradi kama vile kutanua uwanja, uwanja wa mazoezi na nk... Hawa FSG fix tupu aisee.
YNWA
Kukosa uwekezaji muda sasa ni jipu ndugu na pia kuanza kutoa mikataba ya muda mrefu kwa wachezaji walio 30+ ni bad investment kwa sababu Klopp anatumia mfumo wa high intensity ambayo inahitaji wachezaji wenye mchakamchaka fulani fulani... Ukitazama VVD, Henderson, Thiago, Matip, Milner nk uwezo wao kila kukicha unashuka kwa mwendo wa 4 g...
Ngoja tuone dirisha hili kama watatu sapraiz ama ni yale yale ya miaka ya nyuma tunakua so positive tunaingia sokoni kwa kishindo kumbe danganya toto tupu hakuna cha kununua wala nini...
YNWA
Ila Bachelor ll ni mwehu
Anasema eti Milner,Bobby,Ox na Keita wakiondoka,mm ntakuwa kifungashio Chao[emoji1787]
Ni jioni nyingine tena ya kuwalaumu FSG
Tuendelee kuwalaumu[emoji81]
Wamshukuru Klopp nyumbu wale
[emoji3059][emoji3059][emoji3059] i lv u
Weeh[emoji3059][emoji3059][emoji3059] i lv u
[emoji23][emoji23][emoji23]Weeh
Kweli??
Kuna Uzi mpya wa liver, Sina.
Nimetoa Ofa Kwa anayedai ananipenda[emoji23]mdogo enu nivae.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ukiinunua[emoji23][emoji23][emoji23]
Muda utasema kama twasajili ama twabadili mfumoFix tupu wahuni wa biashara hawa. Ijiendeshe yenyewe,,?? Madrid yenyewe pamoja na kukwapua CL na La liga n.k haijiendeshi sembuse Liverpool ya Milner??