Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu huu tupo vimbaya aisee lakini tutarudi nina imani na hilo. Klopp cha msingi apewe pesa aingie sokoni.

YNWA
 

Fabrizio kasema like six signings.

Tayari hawa ni free agent
Bobby (kaaga tayari)
Milner loading
Ox loading
Keita loading
Adrian loading
Melo will go (100%)

Wenye mikataba probably sell or loan

Kelleher
Jones ([emoji848])
Carvalho
Matip
Gomez ([emoji848])

YNWA
 
Hakuna haja ya usajiri mpya aliyakuwa tumekamilika pote
Kipa yupo vzr

Beki zipo VVD kisiki
Tuna Milner
Tuna Henderson mitano tena
Tuna Ox the magician

Tuna gapko na Nunuzi

Tuna salafina
Sasa usajiri wa kazi gan
 
Aaaaaah Gapko alizaliwa mwaka 1999

Mwaka 2012 alikuw ni Kuli

Mwaka 2008 alikuwa anauza mifuko kigoma stesheni ([emoji444]aya mifuko aya mifuko aya mifuko Mmh mmh[emoji444])

Mwaka 2010 alikuwa ni Dj

Mwaka 2011 alikuwa ni mchungaji
Mwaka 2013 alikuwa fundi sofa
Mwaka 2014 akaenda mafichoni

Akaibuka 2017 bandari ya tanga akiwa kipa
Mwaka 2019 akawa refa
Mwaka 2020 alikuwa patron rodan secondary

2021 akazamia udachini kuwa nahodha wa mitumbwi but ugumu wa maisha ukafanya ajiingize kwenye soka ambapo yupo mpaka sasa

Mwaka 2026 atakuwa ni mnajimu na mpiga ramli korogwe
 
Kichaa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walisema wanachukua quadruple.
Ndani ya siku tatu hizi wanaenda kuyakosa yote yaliyosalia.

CARABAO[emoji736]
FA[emoji2313]
UEL [emoji777]
League [emoji777]
Hee
Dunia uhuru umezidi?
Ina maana hawa nyumbu nao walikuwa wanaota quadruple?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…