Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona kila dalili kuwa Pep Guardiola ataandika Historia Msimu huu wa kuwa Bingwa wa EPL (90%), UCL (60%), SUPERCUP (80%) na CLUB WORLD CUP (90%) akiwa na Man City.

Sasa rasmi Man City inaenda kuingia kwenye kundi la Timu kubwa 👏👏👏
 
Hata sisi kama tukiwatumia vizuri
Milner Ox, VVD na Henderson mwakani tutabeba makombe yote
 
Real hizi hatua City hatoboi....na ndo kombe Madrid atalojivunia Msimu huu maana laliga alishapoteana
 
Mm naona
Milner mitano tena
Henderson mitano tena
Ox mitano tena
Keita misita tena
VVD kisiki ukuta apewe mkataba wa maisha hawa bado wanatufaa ndio tuliochukua nao UEFA champions league
Ivi wewe jamaa ni timu gani?🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…