Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,587
- 235,441
Nimecheka mnoo hapo kwa mizembe nyanya hadi watu wanaulizana hukuπ€£π€£π€£π€£π€£Chuma hunoa chuma[emoji91]
Chuma kinatoka
Kinaongia chuma
Luis substitute ya Gakpo
Firmino kwa Salah
Nunez kwa jota
Mizembe nyanya Hendo kwa Milner.
Firmino ana goli lake hapa[emoji91]
Sio Joel Matip tena ?Nampenda Gakpo Mimi jamani waaah [emoji3059]
Tutafanyaje sasaNimecheka mnoo hapo kwa mizembe nyanya hadi watu wanaulizana hukuπ€£π€£π€£π€£π€£
Huyu jamaa akishafika golini yaani ni mnyanyasaji huyu jamaa ni shwaaa!
Tushakubaliana huyo mwili wake ni Indian biscuits tupu πSio Joel Matip tena ?
ππππMatip ni janga ukishakua the other side of 30 na mifupa ile lol basi ni tatizo.Tushakubaliana huyo mwili wake ni Indian biscuits tupu π
Nasema uongo Captain Marvelous ?
Naanza kusaka connection nimpate huyu dogo,tena uzuri ni katoto hakajaoa Bado π
Loh haya bhana π€£π€£π€£π€£Tushakubaliana huyo mwili wake ni Indian biscuits tupu π
Nasema uongo Captain Marvelous ?
Naanza kusaka connection nimpate huyu dogo,tena uzuri ni katoto hakajaoa Bado π
Nampa dirisha moja la 2023 June na msimu ujao kama make or break season.Kama hadi wewe uvumilivu umekushinda kweli tuna hali mbayaπ€£
Kwahiyo bobby humtaki tena baba yako mtenda miujiza?
Na Ile body yakeππππMatip ni janga ukishakua the other side of 30 na mifupa ile lol basi ni tatizo.
YNWA