Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
MilnerDeveloping gossip.
Bye bye Nunes wa Wolverhampton tetesi ni kwamba kile kipengele kinachomruhusu kujiunga Liverpool kwa ada chini ya Β£60m tayari kimeshatolewa na hakipo tena.
Hii ni taarifa mbaya kwetu kama kweli Liverpool walionyesha nia unless wawe wameshajitoa kumnunua huyu dogo kwa kuwasiliana na wakala wake.
Ina maana mpaka sasa hatuna Bellingham na hatuna Nunes.
YNWA
Gareth Southgate aliwai kujaribu hii ishu Trent acheze kama RMF na hata kabla hajaanza kuonyesha cheche akatokea Klopp na kupinga sana lile suala na pale pale Southgate hakurejea tena hata kujaribu kumchezesha dogo MF tena....Hivi Kwanini Trent asicheze mid
Yule. Jamaa kwenye passing ni undisputed
Yuko level moja na kina De bruyne ( passing abilities, opening spaces and chances)
kule nyuma ni kumtesa tu na kumfanya aonekane mbaya
Klopp anaweza kabisa ku switch to 3 5 2 na tukawa completely ruthless
Sisi hatuwezi kitu jamani msituonee kivile mtupeleke moss moss mambo tutakua sikuku mode tusije vimbiwa hivi hivi.Vinara wa ligi kuu nchini Uingereza tutakuja kuuhani msiba wa jogoo mwenye kideri na jezi zetu nyeusi siku ya jumapili
Usikose burudani hii ya soka safi na mabao
#ARSENAL NDOO hutaki lamba limaoView attachment 2579331
Siku hizi arsenal wanajiamin kuzid wadada wenye makalio mjin ....Bila shaka tutashuhudia another brilliant performance from our [emoji294] boy jumapili hii
Usisubiri kusimuliwa, mpira ni live marudio yaachie tamthilia View attachment 2579652
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]As longest Milner yupo hakuna wasiwasi
Milner mitano tena ni kiongozi uwanjani Tuna imani nae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi arsenal wanajiamin kuzid wadada wenye makalio mjin ....
Vipi[emoji41]
Milner na Ox wanatosha hakuna sababu ya usajiri mwingineVipi
Tumempata huyu mtoto?
Manchester City bound?π
π π π HB wako loading.Vipi
Tumempata huyu mtoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] HB wako loading.
Tulia kwa Gakpo.
YNWA
Jinger wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Milner na Ox wanatosha hakuna sababu ya usajiri mwingine
π π π π π Matip muda wake klabuni umeisha ni ngumu kua na back up wawili na wote ni wagonjwa Gomez na Matip na huku nae Konate sio serial fit always ana injuries here n there...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My love for Gakpo is unconditional [emoji3589]
My new babe, He's going to replace my Joel.
YNWA[emoji3531][emoji108]