Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Kweli umemchoka kipenzi Cha Bachelor ll 🤣🤣🤣🤣🤣Firmino yeye kakwambia Klopp kwamba anahitaji kusaka new challenge kwingine na hana mpango wa kubakia Anfield...
Kieta hata leo asepe tu.
Milner hata sasa hivi asepe.
Ox duh after injury ya Roma vs Liverpool na ambayo ni injury ya kizembe kwa sababu hapakua na hatare na haikua na umuhimu sana ile tackling ambayo aliumia yeye.
YNWA
Yaaani Klopp anipe zawadi ya pasaka kutangaza na Milner anaungana na Bobby kusepaaaa👍👍👍👍Kweli umemchoka kipenzi Cha Bachelor ll 🤣🤣🤣🤣🤣
Aondoke sasahivi?
Roho nzuri haijengi.Utulie hivyo 😂😂😂ulisema Klopp out Hahaha wala...
Klopp ana mapungufu yake lakini he is the best pound for pound gaffer out there... Winning every available trophy at club level kwa bajeti ya FSG ni pumping above his height... He is just tooo loyal kwa hawa wachezaji wake wakongwe jambo ambalo linatuumiza kiasi mpaka sasa ana EPL moko tu.
YNWA
Huyuhuyu Potter au mwingine?Keep his name in ua daily haha huyu utamuona tena performing wonders trust me he ain't that bad ni just he was in the right job in the wrong time.
YNWA
😂😂😂😂😂😂Yaaani Klopp anipe zawadi ya pasaka kutangaza na Milner anaungana na Bobby kusepaaaa👍👍👍👍
YNWA
Milner ni kiongozi uwanjani Tuna imani naeMuache Kalleher wangu jamani
Kuna mechi angepewa huyu mtoto tusingefungwa pengine.
Hapo Kuna mafurushi kibao ya kuyauza yakiongozwa na Milner.
Milner na Ox bado wanahitaji muda zaidi wapewe mitano tenaWafuatao mikataba yao inaisha June 2023 na nadra za kupewa mikataba mpya labda kwa mahaba ya Klopp lakini sio based on performance merit
Milner
Firmino,
Ox,
Kieta
Adrian
YNWA
Bahati nzuri hana maamuzi na yeye sio kocha Milner mitano bado yupo yupo saanaKweli umemchoka kipenzi Cha Bachelor ll [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aondoke sasahivi?
We bangi kweliTuna imani na Milner mitano
VVD ni kisiki na ukuta mitano tena
Anderson apewe muda
FSG kikosi kilichopo kinatosha
Mimi mwenyewe namkubali aiseeMuache Kalleher wangu jamani
Kuna mechi angepewa huyu mtoto tusingefungwa pengine.
Hapo Kuna mafurushi kibao ya kuyauza yakiongozwa na Milner.
Kasoro FirminoWote hawa ni mafurushi.
Ila yule baba bangi zake utashangaa wanabaki.
Klopp alikuwa mwoga kufanya maamuzi. Mtu kama TAA msimu huu hakuwa kwenye kiwango chake. Alipaswa kumwamini mtu mwingine. Joe Gomez? Au hata Simikas japo mara nyingi anacheza kulia. Kwangu mimi kikosi cha leo ni kizuri na nategemea matokeo mazuri.Hii lineup ya leo dah
ikitokea tukadroo au kushinda utakuta anasifiwa hendo, tukifungwa atatukanwa nunez.....Klopp leo kafanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi kitakachoanza dhidi ya Chelsea. Salah kaanzia bench. Robbi na TAA wote bench. VvD naye bench nadhani atakuwa na injury. Jones na Leo kapewa shavu kuanza. Simikas na Gomez watakuwa ndio mabeki wetu wa paembeni. Jota bobby ña Nunez ndio strikes leo. Tusubiri tuone.View attachment 2576611