PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
Salah dakika ya 17
Game bdo hyoMimi ni Arsenal Ila najua Liverpool ni timu inayojielewa sio kama Manyumbu, Manshit na Cheltako.
Asanteni Majogoo Kwa kuendelea kututafunia mifupa iliyotushinda.
Sisi hayatuhusuLiverpool mbona mnaanza mambo ya kipuuzi
1-1
Hii Team inahitaji overhaul kubwa sana
Van djik hakabi aisee anaangalua tu mtu huku amegeuza makalio, aisee nmechoka Nmeona mengi msimu huu aisee [emoji23]
Watu wanacheza side ways passes kama upuuzi vile
Hiii team watu wanacheza ni fabinho, Salah, jota na gakpo na konate kidogo wengine upuuzi tu
Team iuzwe mashabiki wenye card tugawane hela