Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
ππππUnajua ukichukua Uefa aafu Liverpool akamaliza nafasi ya nne basi natupwa hukooo Europa alipo allypipi duuh atanipa dodoo za huko maana tumeshashahua kabisa hio Ligi ya mchanganiππNgoja tuchukue kwanza UEFA maana huku kwenye manafasi hatuna cha kupoteza tenaπππ
Klopp ana nuksi kila alieanza nae ametoka duki ajabu tena wale wenye vitengo muhimu..MosDef atakuwa anaijua
Ukamsaidie Klopp.
Of course Manchester United pays premium wages with a super history hivyo wachezaji wengi kupatazama ni sawa kabisa na hizo tetesi za Mwarabu kuchukua timu na kuifanya debt free zinazidi kuvutia wengi na pia kwa mara ya kwanza mmepata kocha mwenye DNA ya Manchester United mpeni sapoti sokoni na muda ajenge kikosi cha ushindani na hatimae kuanza kuleta makombe kama enzi za Fergie...Hii timu Aina mvuto kabisa yani Man u tunagombaniwa sokoni yenyewe ipo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Milner mitano tena ni kiongozi uwanjani
Muipatie wapi?Hahaha wanaume tuko bize na uefa ligi ya kibabe, hii ya wavulana ya nafasi ya ngapi ngoja tuwaachiye nyie. Sisi tunaitaka UEFA [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunampenda Milner
Tunamtaka Milner
Tunamuheshimu Milner
Milner mitano tena ni kiongozi uwanjani
Baba wa watu hadi anatia hurumaKlopp ana nuksi kila alieanza nae ametoka duki ajabu tena wale wenye vitengo muhimu..
Kwa kua mashabiki tunamwelewa vyema Klopp atasimama upya from the scratch na kutuletea tena good times kuanzia next season.
YNWA
Ishu zingine ni Klopp kujitakia mwenyewe aisee... Pale klabuni ana wachezaji kibao mizigo lakini yeye bado kakomaa nao mpaka sasa.Baba wa watu hadi anatia huruma
Ila mm ningekuwa coacher nadhani ningekuwa nazimia presha kila siku timu ikiingia uwanjani
Haaland anaweza fikisha 60.
Haaland ni balaa tupu ndio maana Manchester City wameona isiwe kesi wamempa ofa ya mkataba mpya kulipwa Β£500k kwa wiki upo mezani kwa dogo kazi kwake sasa akumbali ama msimu wa 2024 2025 uatue Real Madrid kama mkataba wake wa sasa unavyosema.Haaland anaweza fikisha 60.
Hiyo rekodi kuvunjwa itakuwa mtihani.
Naona Sarah limekosekana goli moja tuu, kuweka rekodi mpya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ishu zingine ni Klopp kujitakia mwenyewe aisee... Pale klabuni ana wachezaji kibao mizigo lakini yeye bado kakomaa nao mpaka sasa.
Kingine huu utaratibu wa kuacha wachezaji mikataba iishe waodoke bure sielewi nani alimshauri...
Wafuatao ni baadhi wameodoka/wataodoka bure baada ya mikataba yao kuisha.
Emre Can
Lallana
Origi the Legend
Gini Cool operator
Karius
Ox
Keita
Milner babu babuka.
Nk nk nk
Ina maana hapo klabu wamekaa wame relax kabisa na huu utaratibu wa hovyo kabisa.
YNWA
Aungane na Matip wako wasepe zao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Captain una ugomvi na mtaalam Milner?