King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Kama arsenal ana matumaini ya ubingwa kwa magoli ya lala salama na point zake 2 mkononi itakuwa man utd ambayo imechanganya kama treni la umeme lililokata break kimatokeo?
Rule bender ni kipofu ambae atakataa Manchester United kwa mara ya kwanza wanakuja Liverpool Anfield wakiwa favourite ushindi ni wao hayo mengine ni ushabiki tu aisee.Mkuu Captain Marvelous mbona unakwenda mbele na kurudi nyuma tena? Kuna wakati unakubali man utd imeimarika ila kuna kipindi ushabiki unakumeza unarudi kwenye default yenu KOPS.
Yote kwa yote nimependa kwa jinsi ambavyo tumebadilisha upepo ya kwamba ninyi ndio mnajiona underdogs mbele yetu. Hii hali ilikosekana kwa kipindi kirefu sana pamoja na kelele zetu Devils.
Bring it On Anfield.
GGMU.
Naunga mkono hoja kwa namna yotote ile lazima tuipate big 4.Kitu pekee nilicho na uhakika nacho Msimu huu ni kuwa tutamaliza Nafasi ya 4.
1) Arsenal (Bingwa)
2) Man City (2nd)
3) Manure (3rd)
4) Liverpool (4th)
Hao wachezaji wa mpira, we tulia uone anavyokimbizwa mtu hapo kati
Namimi nahisi hivyoNahisi Leo draw
Probably. Ila tuendelee kukazaNahisi Leo draw
Aya nimeonaSubiri utaona kazi yetu
Sisi siyo watu wa mchezo mchezo.