Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Kompany ana around 35yrs alicheza na Milner pale Manchester City ni mdogo pia kuliko Milner akastaafu akaingia job amazing challenging ya ukocha na sasa ni kocha wa Burnley akiwa na uhakika wa kuwarudisha EPL msimu ujao lakini mjukuu wa Malkia Milner bado tunae aisee huku Klopp akikomaa dogo babu apewe mwaka mmoja tena utadhani anacheza kama Messi yaani haya ni mambo ambayo Klopp hua anakosea sana sana kung'ang'ania wachezaji wazeeeee wasio kua na msaada kwa sasa.Kuna mijitu imeshikilia Liverpool kama gundi
Sijui wanataka hadi wafie kwenye hii timu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utashangaa Milner anabaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi niambie ni timu ipi pale Uingereza inayoshiriki Champions League ambao wangewapa kazi Henderson, Milner, Kieta kwa sasa... Hawa ni mpaka mikataba iishe huku wakiwa wametega Klopp alegee aseme wapewe kila mmoja nyongeza ya mwaka mmoja mmoja 😁😁Vita amevipiga
Tunamshukuru,
Bobby wetu jamani [emoji7][emoji3531]
Milner Hendo,Matip waige mfano wa mwenzao[emoji3589]View attachment 2536362
Na bado mnamtetea Klopp kuwa ni kocha bora[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi niambie ni timu ipi pale Uingereza inayoshiriki Champions League ambao wangewapa kazi Henderson, Milner, Kieta kwa sasa... Hawa ni mpaka mikataba iishe huku wakiwa wametega Klopp alegee aseme wapewe kila mmoja nyongeza ya mwaka mmoja mmoja [emoji16][emoji16]
YNWA
Yaani nyie watu aisee
Nilikuwa sijaangalia msimamo wa ligi [emoji1787][emoji1787]Hali yetu sawa tu hakuna uwekezaji pale kati kati ndio maana tupo vimbaya hivi. Wenzetu kila nafasi ina wachezaji wawili established na bado ushindi ni ndoto kwao.
YNWA
Mechi Saba hapo tutashindaHivi hapa kunakutoboa kweli? [emoji1787][emoji1787]View attachment 2537401
Hapa kumfunga Chelsea uhakikaHivi hapa kunakutoboa kweli? [emoji1787][emoji1787]View attachment 2537401
Nilikuwa sijaangalia msimamo wa ligi [emoji1787][emoji1787]
Aloo,kumbe ndugu zetu Chelshit wapo matopeni namba kumi huko maporomokoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wasipompigia magoti Tuchelewe
Wajiandae kuwa wa mwisho kabisa
Yalikuwa makosa makubwa sana Chelsea kumkabidhi timu GP.
Ona sasa OllaChuga Oc amepotea kabisa .
Manyumbu FC wanasema eti nyie kuku hamna lolote zaidi ya mayai tu na eti wanakuja kuwakanyaga humo humo kwenye kijibanda chenu
Moja ya mambo ambayo hua yanishangaza sana ni Klopp kutoa ruhusa baadhi ya hawa wachezaji wanunuliwe kwa mfano Thiago, Melo, Ox hawa hata kabla hawajaja Liverpool rekodi zao za majeruhi zinajulikana vyema sana lakini klabu yenye kikosi kiduchu inakwenda mazima kuwanunua ni ajali kazini kwa sababu hawatoboi bila majeraha ya mara kwa mara.Not just Roberto Firmino. There are currently no talks between Liverpool and Naby Keita over new contract and he could be next one to leave on a free, together with Oxlade-Chamberlain. [emoji837]
[emoji809] Arthur Melo, also expected to leave; #LFC are not planning to trigger the buy option.
Milner na Henderson itakua ndio mawakala wa Klopp pale Uingereza maana sio kwa mahaba yale 😁😁Yaani nyie watu aisee
Nasema uchawi upo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Klopp huyu huyu anayewang'ang'ania akina Milner.
YuP. Liverpool hii inatupa matumaini ya kuifunga. Hata sisi si unaona tumeweza kuwafunga hii season?View attachment 2537702
Anfield ipi wanaozungumza hii hii ambayo hua wanapigika mara kibao ama nwa kwa hali yetu sasa wakikomaa sana wanaweza kutoka na chochote...
YNWA
Imagine Klopp amechukua Trophy ambazo zipo ngazi ya Klabu zote kamalizaNa bado mnamtetea Klopp kuwa ni kocha bora
Mpira bhana itategemea kikosi atakachagua mwalimu, utayari wa wachezaji kupambana na wachezaji kufuata maelekezo ya mwalimu na mashabiki pale Anfield wawape amsha amsha wachezaji ya kutosha..YuP. Liverpool hii inatupa matumaini ya kuifunga. Hata sisi si unaona tumeweza kuwafunga hii season?
Yule mpemba Yuko kwenye momentum Kali na anapenda sana timu zisizoweza kuzuia counter. Huenda yeye anawaona nyie kama fursa nzuri tu ya kujiongezea magoli na kupamba records zake. Hawaoni kama tishioMpira bhana itategemea kikosi atakachagua mwalimu, utayari wa wachezaji kupambana na wachezaji kufuata maelekezo ya mwalimu na mashabiki pale Anfield wawape amsha amsha wachezaji ya kutosha..
Manchester United wanafungika lakini je kwa timu yetu ndugu sisi ni wa dhaifu kwa mipira ya counter yaaani ukitazama timu mechi nyingi tulizofungwa msimu huu ni kwa sababu hatuwezi kuzuia counter attack wakati sahihi... Uchezaji wa Liverpool hua ni kufanya recovery ya second ball immediately pale tumeponywa mpira lakini sasa hili linashidikana especially pale kati panapitika wepesi mno...
Kwa kua wachezaji wetu wanajua hii ni derby na uhasimu wa kudumu milele naamini watapambana kadri wawezavyo..
YNWA
Hahaha Mpemba ni pure Red Devil flesh n blood hivyo ni sworn enemy wa Kops army yaaani kama namuona atakavyomkibiza Trent japo kwa gemu kama hii tension hua zipo juu sana ndio maana nikakujuza kwa kua wote vikosi vipo almost complete timu itakayokua na prepared mind ndio mshindi na pia bahati nayo iwe upande wetu...Yule mpemba Yuko kwenye momentum Kali na anapenda sana timu zisizoweza kuzuia counter. Huenda yeye anawaona nyie kama fursa nzuri tu ya kujiongezea magoli na kupamba records zake. Hawaoni kama tishio
Watakapokuja watalipa kisasi goli 9 tulizowachapa msimu uliopita,na yeye akiwemo ndani ya kikosi akishuhudia.Yule mpemba Yuko kwenye momentum Kali na anapenda sana timu zisizoweza kuzuia counter. Huenda yeye anawaona nyie kama fursa nzuri tu ya kujiongezea magoli na kupamba records zake. Hawaoni kama tishio