Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Barela ..very good
Vipi kuhusu Mo Kudus?

We were interested in January, we opted for Gakpo.

We are still interested, but niliona sehem. kuwa Dortmund wameanza kumtazama kama Jude replacement, ETH pia yupo interested.

Sidhani kama we will follow up. interest yetu in the summer.

Kuna new links za Mc Allister zimeibuka, it seems its either Mount or McAllister for now.
 
View attachment 2532183
Hapo captain alishindwa kupiga pass mbele akageuka nao na kuurudisha mpira nyuma.

Lazima Klopp afanye maamuzi magumu sana coming summer.

Jones
Keita
Ox
Matip
Milner
Hendo
Fabinho
Gomez
Adrian
Keita got a hit piece from The Athletic the other day.

But, Henderson is getting with this, AGAIN.

Racist abuses anazokutana nazo Keita in the UK, especially from local jornos ni very heart-breaking.
 
New Castle pamoja na mpira wao mwingi mzuri wanaoucheza msimu huu,wamepigwa na man u , tena goli 2 kwa sifuri
Wote tulishuhudia namna vijana wanapambana kurudisha.

Sasa eti mmekaa mnasubiri tushinde dhidi ya utd kwa hii timu yetu iliyojaa vikongwe waliojichokea[emoji1787]
Akina Milner.
Nyie jadilini mbinu zote, assumptions zote[emoji23]ila tulipofikia ,kushinda ni sawasawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano.

Mimi nipo palee[emoji117]

Eti tunaweza maliza top 4
Top four unamtoa nani pale juu kwa hili pira goigoi la kina hendo?[emoji1787]
Tunarudi kulekule matopeni maporomokoni namba kumi huko
 
Sure Klopp kama binadamu ana mapungufu yake na moja wapo na kutaka kile anachaomini yeye basi na wengine wote wakiamini na kutekeleza hata kama matokeo ya nyuma yanaonyesha kufeli kwa mchezaji husika basi Klopp kwa kua hapedi kupangiwa atakufa na tai shingoni kwa kutotaka kuambiwa ABC ya pale sio... Kieta ishu yake ipo sensitive sana tangu ametua Liverpool hajawai kua na wakati mwema kwa upande mmoja ni toll ya majeruhi na upande wa pili ni Klopp kumchezesha position anazotaka yeye bila kujali dogo anatoa performance ipi... Keita akiwa higher the pitch hua ana impact njema tu kwa hali yake na mara nyingi pale hajashindwa ikiwa pia kule RB Leipzig alicheza nyuma ya front kwa boys kwa mafanikio makubwa tu na hii ilituvutia sana Liverpool tukatoa ule mpunga wote kumnasa lakini Klopp kama kawaida yake akadhani huyu nae ni kama Gini au Can au Fabinho ambao wapo flexible kucheza nafasi tofauti uwanjani ni kutekeleza maelekezo ya mwalimu to the letter... Gini chini ya Klopp alikua played out of position na dogo japo akiwa na timu ya Taifa 'alilalamika' huko lakini alikomaa sana kumpa Klopp alichotaka so Klopp anafuata ku kopi na ku pasti ya wachezaji wengine kumtegemea Keita afanye yale...

Kwa Manchester United pale Anfield ushindi haukwepeki kama kweli Klopp anampango wa kuingia Top 4 hatuna mechi za kupoteza na uzuri naona sasa main kikosi karibu wote sana wanapona ni Thiago na Diaz ambao itakua bado hivyo hakuna kisingizio pale cha ooh upepo, barafu au wachezaji kwa kau waliopo wanauwezo kabisa kuwafunga Manchester United...
Klopp alipin redemption msimu huu kwa kupita hatua hii ya Uefa na kuingia kwota faino na hilo mpaka sasa pagumu sana hivyo kilichobaki hapa na ku target Big 4 kwa namna yoyote ile.

Casmiro vs Jota haha bring em.

YNWA
 


Kutoka mwaka 2016 mpaka sasa Manchester United wametumia Β£835m kununua wachezaji na katika kipindi hicho wameshinda mataji mawili tu Europa ndogo na Carabao.
Kwa namna yoyote ile that a super under achievement...

Give Klopp some respect.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…