Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upo sahihi sana mkuu kwenye kila comments zako , ila kuna kitu naitaji kuongezea kwenye swala la usajili ,ningependa tusiwachukue world cup stars , hawa wakina judi ambao wapo kwenye spotlight now days kwa sababu ya gharama zao , kuna wachezaji wazuri kwenye baadhi ya Ligi very cheap na wanaweza kufanya vizuri MF:MITOMA you see.
 
Anatoka kwenye timu ndogo still developing, sisi hatuhitaji future potential yatatukuta yalotukuta Kwa minamino
 
Tumefanana fikra hii team namba moja wa wakuhojiwa ni Kloop nilimpuuza tangu alivowekewa ndita na mchezaji akanywea na hakumtoa tena.

La pili hili naamini nipo pekee kifikra ya kwamba morali ya team imeshuka baada ya kuonekana mtu mmoja ndo kaleta hayo mafanikio na kupewa anachotaka hafu wengine kupuuzwa wakajiondokea kuna wachezaji pale wanamsaidia Mane kuhuzunuka kwa siri sisi tunaona viwango vimeshuka kumbe tija ya mwili ndo imeshuka.

Najua ni kawaida kutofautiana mishahara ila kuna mzingila nirafiki na mengine yanaumiza wengine.

Kloop si mwalimu wa mpira ni msimamizi tu
 
Klopp was stupid Jumanne alifanya mambo ya kitoto Sana I don't know what's wrong with him right now
 
Huu mjadala wa Henderson ukishafungwo tangu mismu ule Klopp alimpanga kucheza RB nadhani vs Leicester or West Ham hapa ndio nilijua huyu dogo kama sio bahati basi kamshika Klopp pazuri, kingine ni ile gemu ya ugenini vs Manchester United huyu dogo anakomlomea Klopp wengi wakasema career yake Liverpool imeshaisha lakini ajabu dogo bado anapambwa na ma pundits wazawa japo juzi Carragher amesema kitendo cha Klopp kumtegemea dogo a perfom wonders pale kati kwa misimu yote hii na umri huu inaonyesha udhaifu kwa idara ya usajili..

Idara ya usajili kuna tatizo kubwa sana pale kitendo xha kutoa mikataba mirefu kwa hawa wazee ni japo la kuangaliwa upya.. Hivi huyu hata akiwekwa sokoni kunayo timu inayoshiriki UCL watasema wanamhitaji hilo pekee litakuonyesha tulivyorudi nyuma parefu sana..

Modric is just the game changer alivyompora Fabinho mpira pale na ku handle ile presha ilionyesha kumbe uzee sio hoja mbali ni kujua muda gani wa kukimbia na muda gani wa kutulia...

Kapteni tunae sana... Hapa hata husikii lawama kwake, sasa subiri tukianza kushinda utasikia ooh what's a fantastic captain this boy is bla bla...

YNWA
 
Klopp is Liverpool manager in the wrong time under FSG... Hawa ma Yankees ilitakiwa wamuajili Conte na kweli angewavuruga maana mzee hua mtu wa speaking his mind hanaga cha kupoteza wala maneno matamu matamu tofauti kabisa na Klopp ambae muda wote yeye husimama na FSG hata pale inaonyesha aki speak his mind itamsaidia sana Klopp wala hutamskia..

Ingekua bora kuuza mazima lakini ikishidikana basi hata hio partial payments itakua bora tu kwa hali tulionayo tunahitaji usajili June 2023
*Rignt Centre Back mmoja
*Central Midfielder mmoja
*Holding Midfielder mmoja
*Right Midfielder mmoja maana upande huu hua anacheza Henderson na hatoi ulinzi wa kutosha kwa Trent matokeo yake dogo anakua toasted.
*Right Winger ambao ni dynamic kucheza across the front all fonts.

Muda utasema mpaka June 2023 wawe wameuza otherwise kwa mara nyingine tena tutegemee msimu ujao utakua mbaya zaidi ya msimu huu wa sasa kwa sababu pia Newcastle, Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Tottenham watanunua kujiimarisha zaidi.

YNWA
 

Tuliweza vizuri kwenye usajili alipokuwepo Michael Edward, na hata Ward hajafanya vibaya sana. Ila ndani ya klabu kuna mambo hayapo sawa kabisa kwenye ishu ya usajili

1. Ben Davies (he has never been even on the bench)
2. Kabak (didnt help anything)
3. Arthur Melo (pure talent but injury prone wont work)
4. Calvin Ramsey (nothing to say about him)
5. Carvalho ([emoji848] speechless)
6. Wijnaldum (let him go with no replacement)
7. Mane ([emoji17])
8. Shaqiri (speechless)
9. Minamino (we should have kept him)

And a list go on.
Tumepuyanga sana kwenye usajili. Misimu karibu minne tumenunua only one midfield Thiago Alcantara na bado amekuwa mtu wa injury but atleast uwepo wake unaona kuna vitu anatubeba.

Tusubiri mambo mawili
1.Uuzwaji wa Liverpool full takeover or minority share.
2. Usajili (wakuingia na wakutoka)
 

Going to be tough moments ahead kana maamuzi magumu hayatafanyika.

Kwa sababu we need atleast 4-6 players. Je wataingia kwenye mfumo moja kwa moja? Je watakua free injuries? Watafikia matarajio ya klabu?

Tusubiri tu
 
Inawezekana mbona Barcelona alipindua meza kwa PSG

FC bandari ya tanga ilipindua meza juzi kwa kuifunga pamba 19:10
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…