Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndio apo sasa jiulize inakuwaje apo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We Pimbi unashinda hapa Jukwaani kutoa uharo wako, unasahau kikundi chenu Cha kangamoko Kila siku mnaliwa kiboga......Tena siku hizi washikaji hawatumii KY Tena, ni kuchomeka tu inazama kilaiiini....
Jana watakatifu, wiki ijayo Spurs.....
 
Yale mapimbi ya Chelsea yaliyokuwa yanakuja hapa kutunanga yako wapi now?......

Ni suala la muda tu, tutarudi kwenye ubora....

Top 4 ndiyoo target kwa Sasa......

#FSGOUTNOW
Kwani FSG hawataki kuiuza klabu?
 
Top notch magician

We are coming for you uefa

[emoji23][emoji23][emoji23]..... Nleteeni man u pumbafu View attachment 2522167
Astaghfirullah
Baba Swalehe tema mate chini kwanza, Jumatano sio mbali ujue mtakuja kumtukana Klopp na wachezaji humu kabla hata ya kukutana na timu pendwa duniani.
Ila hata hivyo jana mliubonda mwingi sana mpaka zikanijia zile kumbukumbuku mbaya za msimu wa 2021-2022 jinsi mlivyotuonea kwa kutugongo goli 5-0 na 4-0.
Kikubwa nilichogundua hata nzi akiacha upambavu anaweza akatengeneza asali, ila Newcastle jana kuanzia kocha mpaka wachezaji akili zao zilikua hazipo kwenye Epl, muda wote walikua wanawaza mechi inayofata ya fainali ya Carabao cup.

Liverpool Ndoo
Nketiah Kiatu.
 
Tunafurahia kwa Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe

I missed this moments najua ni za Muda mchache
 
Dah acha tu yani saiv kama nimemwagiwa maji vile [emoji37][emoji37][emoji37]
Sema tukirud aise mutatutambua..saiv adi jukwaa la arse8 na manjestaa aka manyumbuz nayapita kaa siyajui vile [emoji37][emoji2][emoji2][emoji2]
Ulikuwa unaita Manure matakataka
Leo takataka la kwanza ni chelsii[emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…