Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oh what a boy
Mara TAA ana assist nyingi kuliko wengine wote
Mwaka huu atazisikia redioni
 
Hii timu ni kama imekufa kabisa, hata kupiga chafya hakuna jamani. Au mnataka kuingia top 4 kwa imani?

On Deradline Day
  1. Man United - Marcel Sabitzer
  2. Chelsea - Enzo Fernandez
  3. Arsenal- Jorginho
  4. Liverpool- James Milner 5 year contract extension
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi kama lengo ni maslahi wanaolipwa kidogo watacheza kwa kidogo chao na wa kingi hivyo hivyo wala tusinune.

Hafu tuone kwa haya matokeo hiyo mikataba itabaki?
 
Bayern president Herbert Hainer 🗣️ - "I don't believe in UEFA market valuation, it's stupid. According to market valuation a guy called Declan Rice is more valuable than Joshua Kimmich. But I guess if Kimmich was English or played in the Premier League, he would be worth ten times more because in reality he is a ten times better player than Rice. I don't understand people talking about Premier League clubs being better than Bayern & Bundesliga. Check the record of English clubs against Bayern, we beat them easily everytime without putting much effort. Their league leaders this season are Arsenal from London, arguably the easiest opponents to play in Europe, they get destroyed by most teams in the Champions League. The only team in the Premier League worth talking is Liverpool or maybe Man United but United are history now." [ DAZN ] 🎙️📰
 
Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"
 
Aaron Arsenal hivi kwa huyu Jorginho mmeona nini maana namuona dogo kama Kieta aliechangamka[emoji23][emoji23][emoji23]

YNWA
Kocha Ndiye kampendekeza ,na alimuhitaji toka zaman
JoJo ni pass master na Arsenal ndio kafika penyewe


JORGINHO ni kipande muhimu kilichobakia (Missing piece of a puzzle) kwa Arteta

Siwezi kumfananisha kama Caicedo kwa sababu Caicedo ni powerful box-to-box midfield kwa Brighton. Lakini kwa Jorginho ni Press resistance na Tempo-setter ndani ya timu. Ni aina y wachezaji Arteta alikua anawahitaji Sio tu kuongeza nguvu kikosini bali pia Winning mentality na experience kwenye kikosi. Ukitaja jina la Jorginho msiishie kuishia jina Frelo bali ongezeni UEFA Champions League winner (2021), UEFA League of Nations winner (2019) na Ballon’Dr nominee mwaka 2019.

Jorginho Frelo ni kweli umpa eneo kubwa ku-defend atakufedhehesha (Large area to defend) lakini mazingira ya Arsenal kuzuia kama Unit ukizingatia uingiaji ndani wa Fullbacks kwenye midfield (Inverted full back) kama afanyavyo Zinchenko, Tierney na White means hatakua isolated kwenye #6.

Arsenal na Arteta hawahitaji mpiga Penalty tu, bali mchezaji ambae ni Ball Passer na mzuiaji mzuri timu inaposhambuliwa ukizingatia pass rate ya 87% kwa misimu minne yote akiwepo Chelsea. Tunamhitaji Jorginho wa Napoli zaidi kuliko huyu wa Chelsea na Arsenal ina mazingira hayo ya kumrudisha kwenye ubora.

Jorginho msimu huu ana tackles, interceptions na ball recoveries nyingi kuliko Partey na ukizingatia Chelsea hawako compact sana kama Arsenal. Arsenal ni tofauti kidogo. Muda mwingi wapo na umiliki wa mpira, imagine juu ya hapo imeongeza Build Up play monster. Ni hatari sana.
 
Deadline day deals:

Chelsea - Enzo Fernandez
Arsenal- Jorginho
Man United - Marcel Sabitzer
Tottenham - Pedro Porro
Liverpool- James Milner 2 year contract extension[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oyaaa[emoji1787]
 
Deadline day deals:

Chelsea - Enzo Fernandez
Arsenal- Jorginho
Man United - Marcel Sabitzer
Tottenham - Pedro Porro
Liverpool- James Milner 2 year contract extension[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Am really impressed na spidi ya Manchester United yaaani within 24 hrs kuumia kwa Erickson na kufahamika kua atapona April sasa wakatua mazima kwa Sabitzer.
Sisi Liverpool tunasubiri maajabu ya Arthur 😂😂😂usajili mpya.

YNWA
 
Deadline day deals:

Chelsea - Enzo Fernandez
Arsenal- Jorginho
Man United - Marcel Sabitzer
Tottenham - Pedro Porro
Liverpool- James Milner 2 year contract extension[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…