BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 851
Kuna makocha wengi???????????????????????????? Embu taja watatu tuKlopp aondoke.
Ujinga wake umetufikisha hapa..
Kwa akili ya kawaida tu,huwezi kumuacha Mane aondoke ila umewashikilia mibabu,unaipambania kuongezwa mkataba.
Klopp aondoke,Makocha no wengi,hayupo pekeyake na kwa sasa hana maajabu yoyote.
Au nae ale benchi tumwamini Kelleher haha...Jamaa alikuwa boonge la mweupe yaani
Kelleher apewe nafasi.Au nae ale benchi tumwamini Kelleher haha...
Class is permanent form is temporary.
Tatizo pia hua winning is addictive na vile vile losing is addictive yaani unakwenda kutazama mechi ya Liverpool vs Brighton ukijua fika matokeo ya ushindi ni timu ya nyumbani duuh kweli tumekwisha sana.
YNWA
Watoto pendwa wa Baba [emoji23]Save ua energy Miss Liverpool tuungane pamoja tupige magoti mpaka Henderson, Milner, Ox, Keita, Gomez, Matip [emoji12]wasepe otherwise ma stress mpaka Henderson amalize mkataba 2026 sio leo ujue[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
YNWA [emoji16]
Hii ishu ukiifuatilia kwa umakini utakumbuka Liverpool haijawai kua na benchi la nguvu lenye vipaji angalau tu kwa wachezaji wawili tu Diaz = Mane, Jota=Firmino hao ndio pekee walikua na uhakika wa kwamba akitoka Mane anaingia Diaz ambae ni like for like na vile vile Jota na Firmino lakini namba zingine zote wasaidizi ni matatizo tosha...Yaani anaendelea kutuangusha na anasema haondoki!
Waondoke tu aisee .
Ndio madhara ya ajira za kudumu..hata ukifanya vibaya huna wasiwasi kwa kuwa una uhakika na ajira Yako.
Ebu usikimbie bhana angalia tu mechi hili ni wingu linapita tutakaa sawa though ni lini sina hakika kwa kua Klopp na FSG wanajua wanachokipanga dirisha la June 2023.Watoto pendwa wa Baba [emoji23]
Kazi ipo[emoji1787]
Mimi nimejipa Likizo kuangalia mechi zetu.
Siwezi kuvumilia maumivu [emoji16]
NOMA SANA DINGIHii ishu ukiifuatilia kwa umakini utakumbuka Liverpool haijawai kua na benchi la nguvu lenye vipaji angalau tu kwa wachezaji wawili tu Diaz = Mane, Jota=Firmino hao ndio pekee walikua na uhakika wa kwamba akitoka Mane anaingia Diaz ambae ni like for like na vile vile Jota na Firmino lakini namba zingine zote wasaidizi ni matatizo tosha...
Tsimikas kwa Robertson ana mapungufu kwenye speed kwenda na kurudi nyuma..
Gomez kwa Trent huyu hana jipya sidhani hata kama ana assist wala goli akicheza RB.
Keita ni babu kabisa hana jipya.
Ox lile jeraha gemu ya As Roma lilimmaliza kabisa hakuwai kurejea tena.
Matip haumii ki vile lakini ndio ubora umekwenda kusini.
Sasa usajili mpya wameingia wakati kikosi kimepoteana balaa lazima wakose kuonekana wanahitajihidi lakini bado kwa kua hatuna identity... Liverpool mpira wetu ni high press ambayo huacha space za kutosha ambazo zamani Fabinho alikua ndio kazi yake kusimama shoo humo lakini sasa hata yeye haelewi wapi asimame...
YNWA
Kelleher ni wakati sasa asepe ashakomaa vya kutosha... Chini ya idara ya makipa yenye legend Claudio Taffarel akisaidiana na Jack na John wamefanya kazi nzuri sana kwa Kelleher. Huyu ni EPL material sio wa back up tena.Kelleher apewe nafasi.
Naona ni kipa mzuri sana yule dogo.
Angalau wawe wanatotate,isiwe ni Allison pekeyake.
Timu inayocheza 4 3 3 attacking lazima itasogea karibu na mstari wa katikati ili kutuwapa timu pinzani muda wa kupanga mashambulizi, sasa msimu huu hatumo hata kwenye tano bora kwa kukimbia tukiwa na mpira na bila mpira kwa hio inaonyessha wachezaji wamekua wazito fulani wakiwa na mpira na wakiwa bila mpira na hili lipo wazi kwa kushindwa kuanzisha mashambulizi tunapewa mchakamchaka mpaka tunapoteza mpira na kwa kua hatukimbii hatuzibi mianya kama zamani basi vipigo vitapatikana tu..NOMA SANA DINGI
bora tungechukua .[emoji626]Gakponlahor for Liverpool
5 Games [emoji153]
0 Goals [emoji460]
0 Assist [emoji969]
2 Shoot on target [emoji457]
75% Pass Accuracy
3 Missed big chances
Akili kubwa chief .Timu inayocheza 4 3 3 attacking lazima itasogea karibu na mstari wa katikati ili kutuwapa timu pinzani muda wa kupanga mashambulizi, sasa msimu huu hatumo hata kwenye tano bora kwa kukimbia tukiwa na mpira na bila mpira kwa hio inaonyessha wachezaji wamekua wazito fulani wakiwa na mpira na wakiwa bila mpira na hili lipo wazi kwa kushindwa kuanzisha mashambulizi tunapewa mchakamchaka mpaka tunapoteza mpira na kwa kua hatukimbii hatuzibi mianya kama zamani basi vipigo vitapatikana tu..
Thiago ambae kazi yake hua ni kupoza joto na kutoa long pass kwa ma wings ndio sasa anakua harassed mpaka anaachia.. Na hili linatokea kwa kua timu zimeshatujulia...
Ile gemu ya Atletico Madrid vs Liverpool wanatupa nje ya Champions League na pia tukaja kufungwa na Watford ilikua iwe changing point ya Klopp na FSG kwamba tuedako sio salama sana kukiwa na kikosi finyu. Lakini kwa kua bado ligi ililua bado ushindani upo chini tuliedelea kutesa mpaka pale sasa Arsenal, Manchester United, Newcastle, Brentford, Brighton, Fulham nk wamejiimarisha na kucheza mpira wenye marengo huku FSG wakiamini Klopp ana miujiza kwenye kichwa chake yaaaaani.
High intensity na umri wa hawa senior players ni janga kabisa hawana ubavu wa kukupa same output kila baada ya siku 3 na tukumbuke Klopp alijua fika msimu huu kwa sababu ya kombe la dunia umekaa kimtego sana..
Tunavuna tulichopanda.
We are lacking a player who can be the fixer, especially in transition.. Elliott is too young for that kind of assignment.. Muda mwingi akicheza MF anapotezaga mipira ama by th time atoe pass opponent wamejipanga.
Lady luck come to us.
YNWA
Yaani style yangu ya kuangalia mechi hadi Mpira uishe nakuwa hoi taabani.Ebu usikimbie bhana angalia tu mechi hili ni wingu linapita tutakaa sawa though ni lini sina hakika kwa kua Klopp na FSG wanajua wanachokipanga dirisha la June 2023.
YNWA
Ngoja tuoneHii ishu ukiifuatilia kwa umakini utakumbuka Liverpool haijawai kua na benchi la nguvu lenye vipaji angalau tu kwa wachezaji wawili tu Diaz = Mane, Jota=Firmino hao ndio pekee walikua na uhakika wa kwamba akitoka Mane anaingia Diaz ambae ni like for like na vile vile Jota na Firmino lakini namba zingine zote wasaidizi ni matatizo tosha...
Tsimikas kwa Robertson ana mapungufu kwenye speed kwenda na kurudi nyuma..
Gomez kwa Trent huyu hana jipya sidhani hata kama ana assist wala goli akicheza RB.
Keita ni babu kabisa hana jipya.
Ox lile jeraha gemu ya As Roma lilimmaliza kabisa hakuwai kurejea tena.
Matip haumii ki vile lakini ndio ubora umekwenda kusini.
Sasa usajili mpya wameingia wakati kikosi kimepoteana balaa lazima wakose kuonekana wanahitajihidi lakini bado kwa kua hatuna identity... Liverpool mpira wetu ni high press ambayo huacha space za kutosha ambazo zamani Fabinho alikua ndio kazi yake kusimama shoo humo lakini sasa hata yeye haelewi wapi asimame...
YNWA
Kwanini asibaki tu apewe airtime sana.Kelleher ni wakati sasa asepe ashakomaa vya kutosha... Chini ya idara ya makipa yenye legend Claudio Taffarel akisaidiana na Jack na John wamefanya kazi nzuri sana kwa Kelleher. Huyu ni EPL material sio wa back up tena.
YNWA