[emoji541][emoji779]οΈ[emoji22]
[emoji1201] Diogo Jota - Back in mid Feb
[emoji1075] Luis Diaz - March
[emoji1054] Roberto - "few weeks"
[emoji1179] Van Dijk - "few weeks"
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Aiseee,ningetawala uingereza na ulaya yote
[emoji599] NEW: Stefan Bajcetic is set for another chance to impress in Liverpoolβs midfield against Brighton in the FA Cup after signing a new contract. #lfc [evening standard]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Kwa kuumia Partey mambo kwenu sasa si mazuri sana bila kuingia sokoni...Brighton wanataka upfront ya pesa ndefu ,
Partey yupo fit , tunamuhitaji anagalau mechi 15 tu zinamtosha,Kwa kuumia Partey mambo kwenu sasa si mazuri sana bila kuingia sokoni...
Huyu Caiceido atawasaidia sana kusaka taji la EPL.. anaijua EPL hivyo naona impact kama ya Trossard.
YNWA
Kumbe ilikua mstuko hajaumia.. Habari njema sana hizo.Partey yupo fit , tunamuhitaji anagalau mechi 15 tu zinamtosha,
Caicedo tukimpata atatusaidia ,shida ipo kwa Brighton wamekaza sana
Summer mje kuchukua wakina pulisic,ziyechView attachment 2498723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OllaChuga Oc kwa huu usajili wenu sijui benchi la sasa kama litatosha?
YNWA
π π π π π π π Nipe Mount kwa bei ya discount...Summer mje kuchukua wakina pulisic,ziyech