Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaonaje akatua hapo kwenye timu zenu za daslam🤣
 
Ngoja tuone mwisho wa hizi drama
 
Ngoja tuone mwisho wa hizi drama
Mwisho tenaa hahaha tegemea paleeee ujenge kibanda nafasi ya 6 ama ya 7 tutashiriki Europa Conference League 😂😂😂hata sijui kombe linafanana aje duh...

Mwisho uwe na maji ya baridi sana kuanzia April maana pale ndio reality check itaanza kutua kwa spidi kali sanaaaaa....

YNWA
 
You never know
Pengine tungekuwa pazuri
😂😂😂😂Kama anajua anajua tu hakuna cha pengine alipewa mkwaja akakimbia kununua useless buys matokeo yake hata aliowakuta pale wakamgeuzia kibao kwamba hawaelewi nini anafundisha kocha akishapoteza heshima ya trust ya wachezaji wake vipigo vinafuata maana wanakosa harmony na cohesion na baada ya vipigo mashabiki wanaanza kuzomea na taa inawaka kwamba kibarua kinaelekea mwishoni...

Apate timu hukoo Championship panamfaa... Unamuona Kompany na Burnley wapo motooo 🔥 kusaka kupanda tena EPL msimu ujao.

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]
 
Poor Gerrard
Nimeumia [emoji23][emoji174]

Bobby naomba picha
 
Jürgen Klopp on his 1,000th game as a manager being a draw:

'Arsène Wenger lost his 1,000th game 6-0 so I'm pretty happy' [emoji88]

[emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…