Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,917
😁😁😁😁😁😁Henderson alone no way.... Henderson, Keita, Milner damn hawa are just chewing the payroll if come June 2023 they can walk will a happy man haha its would be Xmas comes early bro....The day Henderson leaves this club, i'll buy countless burgers & drink myself to death.
Ameniumiza sana, 11 years and counting.
Klopp needs to PULL THE TRIGGER.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namuona klopp akiwaza"milie new signing,elliot new signing"
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Soon Firmino usajili mpya, Jota usajili mpya na Diaz usajili mpya.... Duniani bahati hua zipo nyingi na Klopp ni bahati kubwa sana kwa FSG... Hivi najiuliza ingekua kocha wetu ni Conte ingekua aje😂😂😂maana yule mzee hua hana kupepesa maneno... Leo kasema uanze utaratibu wa wakurugenzi, ma dokta wawe wanatokea kuhojiwa na waadishi wa habari maana amechoka kuulizwa maswali yale kila sikua ya media 😂😂😂Yaaaaani mzee Conte hana muda wa kujibu maswali wakati idara zingine wametulia wanakula pop corn...Namuona klopp akiwaza"milie new signing,elliot new signing"
Huyo fabinho apewe likizo ya mwezi mpaka February katikati arudiView attachment 2485219
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Klopp proving he ain't tooo loyal Hahaha angalau ameelewa hatutaki same players same outcome... Change was needed
YNWA
Hahahaaa eti wa youtube [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gakpo Ana poor positioning sijawahi ona
Hana speed hawa wachezaji wa youtebe hawa
Kwa hali hii ya sasa hata aje Mbappe matokeo yatakua vile vile tumepigwa...Gakpo nae nahisi tumepigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndio huyooo kaingia....Huyo fabinho apewe likizo ya mwezi mpaka February katikati arudi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ndio huyooo kaingia....
YNWA
Dogo kuna muda niliona ameumiaDuuh Klopp anamtoa Bajectic like serious haiyaaa boy owned the middle area.
YNWA