Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha narudi ngoja nile gym nipate shingo ya Matip au unasema aje ๐๐๐๐๐๐๐Watip wetu shingo ya twiga๐ฅฐ
Jamaa anajua kutembea na mpira
Bado mnanibania tu connection๐
Morning Bobby , ulinikimbia chitchat ๐ฅบ
Unazingua ๐Hahaha narudi ngoja nile gym nipate shingo ya Matip au unasema aje ๐๐๐๐๐๐๐
YNWA
Yupo kwenye mikono salama sana chini ya VVD.Kumbe atakuwa na kaka yake VVD๐ฅฐ
๐๐๐๐๐๐๐Ngoja wakusikia huko kwa Malkia wana bana atoe ma assit waanze ohh what a boy ๐๐๐๐Unazingua ๐
Njoo tu na shingo hiyohiyo hata kama ipo kama kuku wa kideri๐
Kikubwa si nishakuadmire
Ila TAA ni mchezaji wa Kawaida sana
Kidogo tu sijui Trent hivi, yaani wanakapamba Kweli wakati hata kukaba hakawezi, hata le capten Hendo amemuacha dogo mbali kwenye kukaba.๐๐๐๐๐๐๐Ngoja wakusikia huko kwa Malkia wana bana atoe ma assit waanze ohh what a boy ๐๐๐๐
Sizingui bhana will saparizi u
YNWA
VVD, Matip, Konate wakiwa kwenye ubora na Fabinho akiwa back to his best hutaona haya mapungufu ya Trent lakini kwa kua kuanzia kati ni dhaifu lazima ndio maana anakua vile.Kidogo tu sijui Trent hivi, yaani wanakapamba Kweli wakati hata kukaba hakawezi, hata le capten Hendo amemuacha dogo mbali kwenye kukaba.
Mambo ya sapraiz sitaki Mimi ๐
Mwishowe nipate presha nikufwe.
Do the needful please.
Miaka 23 kwa muchezaji kama Nunez alipaswa awe amekwisha impruvu, Werner hajafinikiwa kivile pale darajani lakini atleast kabeba uefa.Kama Werner na babu kibegi aka Lukaku hahaha hivi ile pesa ยฃ/๐ถ/usd 97m mtaweza kweli kupata hata nusu yake mkimuuza Lukaku Inter. Sasa tazama dogo Nunez ndio kwanza ana 23 ana muda wa kutosha wa kujiweka sawa na kuanzia kufumania nyavu.
Huyu Cody uwe na utulivu tuna gemu 2 na wewe Epl majibu utayaona siku hio.
Nafasi ya Uefa ndogo inakuhusu.
YNWA
Hawezi kabisa kuzuia yule mtoto.VVD, Matip, Konate wakiwa kwenye ubora na Fabinho akiwa back to his best hutaona haya mapungufu ya Trent lakini kwa kua kuanzia kati ni dhaifu lazima ndio maana anakua vile.
YNWA
Wana mishahara ya ajabu sana pale katoto eti 350k kwa wiki huku Ronaldo babu akipata zaidi ya 400k kwa wiki yaaani ni aibu huku Jota, Diaz, Nunez hata 170 hawapati na vijana wenye amsha amsha ya kutosha.Kweli pale ni hela.
Hata ningekuwa mm ningeingia kuvuna Hela kwanza Halafu naondoka.
Le Captain sitaki sapraiz ๐VVD, Matip, Konate wakiwa kwenye ubora na Fabinho akiwa back to his best hutaona haya mapungufu ya Trent lakini kwa kua kuanzia kati ni dhaifu lazima ndio maana anakua vile.
YNWA
Uyu VVD kashindwa kuisaidia timu ake ya taifa kiwango chake kimeshuka tangu mulivopoteza ile fainal dhidi ya Madirid Hana jipya tena amekuwa wa hovyo sanaYupo kwenye mikono salama sana chini ya VVD.
Amechangia pia dogo kuchagua Majogoo na kuwakacha mashetani wekundu.
YNWA
Mimi nashangaa,Wana mishahara ya ajabu sana pale katoto eti 350k kwa wiki huku Ronaldo babu akipata zaidi ya 400k kwa wiki yaaani ni aibu huku Jota, Diaz, Nunez hata 170 hawapati na vijana wenye amsha amsha ya kutosha.
Ni kijiwe cha kupiga ela hamna namna labda huyu Kipara wao sasa wamsikilize ana kibarua kigumu sana pale.
Numbisa pole sana kwa kumkosa Cody ๐ค๐ค๐ค
YNWA
Nunez ana Ngao ya Hisani eti.Miaka 23 kwa muchezaji kama Nunez alipaswa awe amekwisha impruvu, Werner hajafinikiwa kivile pale darajani lakini atleast kabeba uefa.
#CFC๐๐๐
Una hakika ameshindwa kusaidia?Uyu VVD kashindwa kuisaidia timu ake ya taifa kiwango chake kimeshuka tangu mulivopoteza ile fainal dhidi ya Madirid Hana jipya tena amekuwa wa hovyo sana
๐๐๐๐๐Thiago Silva hakucheza ama....Uyu VVD kashindwa kuisaidia timu ake ya taifa kiwango chake kimeshuka tangu mulivopoteza ile fainal dhidi ya Madirid Hana jipya tena amekuwa wa hovyo sana
๐๐๐๐Why ujitume na upo timu kubwa duniani haha hivi unadhani mshahara anaolipwa Sancho, Degea, Martial wakitoka pale wataupata wapeeee tena. Wamejificha kimya wanakula ela Carabao, FA zinawashinda hahaMimi nashangaa,
Hela zote hizi na wala hawajitumi.
Ningekuwa mm ningecheza kufa na kupona.
Silva aliangushwa na hawa watoto mchele mchele wenzao wako ground na tizi la kutosha wao wako saloon wanapaka rangi nywele๐๐๐๐๐Thiago Silva hakucheza ama....
VVD ipo wazi wala simtetei kiwango sasa sio kile cha beki kisiki pazuri ni VVD yule yule anaweza kurudi ni kujituma mazoezini.
YNWA
Limendy limechomesha timu mapema ikatokam๐๐๐๐๐Thiago Silva hakucheza ama....
VVD ipo wazi wala simtetei kiwango sasa sio kile cha beki kisiki pazuri ni VVD yule yule anaweza kurudi ni kujituma mazoezini.
YNWA
Angalia timu anayocheza mendy na timu anayocheza uyo VVD .. kwenye kombe la dunia huyu beki wenu kisiki kiwango kilikuwa hovyo sana. Pengine asingekuwepo uholanzi wangefika mbaliLimendy limechomesha timu mapema ikatokam
Angalau angeweza hata Manula angedaka vizuri kuliko lile jamaa lina pazia mikononi.