Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Hahahahaha halafu ujue nina mpango wa kuja huko RC wenu ni Classmate wangu primary hiyo. Achana na SACCOS miss Liverpool, JF watu wengi ni matapeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jina langu ni Frankie Manyanza. Hela zilipotea kitapeli aisee humu humu JF. Kikoba kingine chote kimekauka nacho kuna mwenzetu yupo hapa Muhimbili siku ya 12 hana fahamu aligongwa na gari ndio tunamuuguzaNjoo utatukuta
Tutakupokea Kwa mikono yote na miguu
Kaka Saccos nikopee hela za kicoba chenu[emoji23]
Wanataka kututapeli kama walivyo tutapeli kwa Nunuz [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anajua mara 2 ya Bellingham
Bellingham akikutana na Viungo wenye akili kidogo huwez kumuona
Ila media za UK zinavyojua kuwapamba wachezaji wao Ni hatari
Enzo Fernandes mechi iwe ngumu au nyepes utamuona , technically yupo vzr ,passing yupo vzr , physical yupo vzr
Bellingham eti anauzwa β¬130m huu Ni utapeli katika soka
Na iwe kweli aiseeHaya haya kwa Coady ulikuwa mwanzo tu [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2459926
The stories you wonna read as the year end...Haya haya kwa Coady ulikuwa mwanzo tu [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2459926
Huyu Bellingham atatufilisi bora atue huko RM bhana... Wasiwasi dili la kuuza hii klabu likianza linaweza kuchukua sio pungufu ya miezi 4 mpaka 5 na sina hakika wakija tena wamiliki ma Yankees watatoa mpunga dirisha la June 2023 kwa Klopp afanye yake.Cody Gakpo will sleep at Virgil van Dijk house for the next 3 nights. #lfc
Van Dijk has done his bit with Gakpo.
Letβs hope Trent and Henderson have done their with Bellingham [emoji23]
πππHuyu dogo simwamini isije ikawa Sancho mwingine. Imagine Sancho anakula 350k kwa wiki mshahara dogo kajaa ela mpaka mpira umemshinda sasa yupo kama hayupo...π¨ NEW: Liverpool are now focusing on Enzo Fernandez, as it seems Jude Bellingham has made it known he wants to join Real Madrid. #lfc [marca]
From credible sources[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hesabu ya 85 hua mnaipataje aisee.
YNWA