Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

New owner takeover itatupa clear pics ya tuendapo.

Kama tutafanikiwa kumpata
Kudus
Gakpo
Belligham
Caiceido

Basi tutapata kujua jamaa wanaoichukua timu ni jamaa wa sports.

Bado tunaomba tuondoke mikononi mwa Americans.
 
New owner takeover itatupa clear pics ya tuendapo.

Kama tutafanikiwa kumpata
Kudus
Gakpo
Belligham
Caiceido

Basi tutapata kujua jamaa wanaoichukua timu ni jamaa wa sports.

Bado tunaomba tuondoke mikononi mwa Americans.
😂😂😂😂😂😂Yaaaaani wachezaji wa nne kwa FSG 🤓🤓🤓labda aje mwarabu chap sana.

Kwanza hii ya kuingiza timu mbili kongwe za England sokoni kwa pamoja kuna jambo halipo sawa. Hawa ma Yankees kuna jambo wanalijua hawa jamaa si bure.

YNWA
 
Siwaoni wana Liver kwenye thread ya WC

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa wana Liverfool kwenye thread ya WC unataka waende wakamshangilie Manunu?
Nyie kweny Wc ya msimu huu ni kama wajane tu.
Sanasana kwenye Wc mnaenda kuunguza nafsi zenu mnapowaona wachezaji wa Man United jinsi wanavyotakata.
Nawashaauri mashabiki wa liverkisheti mbaki kushangilia Ihefu Fc huenda mkafarijika.
 
Utajinyonga mwaka huu kuona Golikipa Allison anaisaidia timu yake kutwaa kombe.

Ngoja akina Magwaya wakate mauno kusindikiza wenzao🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…