Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv Viktoria plzen wangemtoa kwenye hilo kundi wakatuweka sisi wana Liverpool tungekuwa na hali gani?View attachment 2386177

Mkuu hao wote ukizungumzia uefa kwa Liverpool hawana cha kumzidi hao.

Baada ya makundi wanaishiaga wapi?

Ndani ya miaka saba tumecheza fainali za uefa mara 3 wao wamecheza mara ngapi? Hao kelele kwenye makundi tu kwenye mtoano wepesi tu hao.
 
Wewe na hizo fainali zako 3 umepata makombe mangapi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…