Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu unasubiri hadi tumuadhibu Liverpool? Unachelewa kutangaza nia

Mimi msimu huu nshasema
Arsenal NDOO
haaland kiatu


Pep ameamua kupiga kwenye mshono
[emoji116]
Pep Guardiola on Manchester City’s start to the season: “We cannot forget one thing, ladies & gentlemen, there is one team that have been better than us, this is the reality. Arsenal have been better than us, so far. We are not top of the league.” #afc
 
Mungu awatangulie mchukue Epl msimu huu.
 
Arsenal wapo vizuri ila itakua ngumu sana kupata ushindi dhidi ya Liverpool na Man City
Aisee ndugu Liverpool hii hii ya Hendo Milner VVD ama nyingine....
Tupo ugenini na Arsenal wana kikosi changa sana hivyo Klopp akijipeleka na 4 3 3 tumeumia mapema tu angalau kwa kesho akomae na 4 2 3 1 inakua compact kiasi fulani...

Timu yetu imejaa wazee no wonder tunahenyeshwa balaa kwa sasa.

YNWA
 
Kesho mnacheza na washika manati, achana na mambo ya mahela. msije mkaloanishwa na wale watoto wa chekechea
Kutesa kwa zamu.... Arsenal ni wakati wao sasa wana kikosi kizuri sana kichanga hivyo watumie vizuri hii fursa na momentum walioyonayo na watafika mbali...

Sie bado tunajitafuta upi mfumo utakaotuvusha salama kipindi hiki..

YNWA
 
watapata goli ila na sisi tutapata magoli, Arsenal ni wazuri kwa hizi timu ndogo ndogo, kwa timu kubwa bado ni wadhaifu ( ukiacha Spurs ambao wamezoeana na Arsenal)
 
Kutesa kwa zamu.... Arsenal ni wakati wao sasa wana kikosi kizuri sana kichanga hivyo watumie vizuri hii fursa na momentum walioyonayo na watafika mbali...

Sie bado tunajitafuta upi mfumo utakaotuvusha salama kipindi hiki..

YNWA
You deserve kuwa fan wa LIVERPOOL

Umeongea kisoka sana
Japo mpira unamatokeo matatu. Lolote linaweza kutokea
 
Leo ndo tunaanza ligi ipo hivi, leo LAZIMA tushinde Tena ushindi mzuri tu. Najua mashabiki wa arse8 watadiss Ila ndo ukweli graph yao inaanza kushuka Leo rasmi. City atabaki namba moja huku pupils wakibaki mbili. Ndio watakavokua wanashuka taratibu Hadi mwisho wa msimu watakaua wanapigania top four...
Liverpool 3 Arsenal 1

#YnWa
 
Klopp analenga vilema tu anatujazia hii ni danganya toto huezi muacha Nunez mido tam kabisa na umri mdogo ukabebe Athor ambae kimsingi sio m baya ila ameshaonekna kama ni kimeo kwenye tim hivyo atolewe tu yey kabeba.

Tunatia aibu sana msimu huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…