Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😂😂😂
Kama nimeshindwa kuhama na Mane sidhani kama naweza kuhama na mtu mwingine😂😂😂😂😂

Ila Joel anapelekaga sana Mpira mbele,na ile body yake ilivyojengeka hadi sasa sipati majibu kwanini anaumia.
Inabidi lipite fagio pale Liverpool wachezaji wote wasiocheza gemu 25 kwa msimu wauzwe tu kwani wanaturudisha nyuma 😂😂😂na Matip yumo humo.

YNWA
 
Uchawi upo akiyanani 🤣🤣🤣
 
😂 😂 😂 Sijui huko mazoezi gani jamaa wanafanya mpaka kuumia vile yaaani haya mambo yakutegemea lady luck atupe ushindi tuseme hapana maana msimu huu tuna hali ngumu sana imagine tumetanguliwa kupigwa goli kila mechi yaaani mabeki hawana ushirikiano lini acheze offside trick yaaani tumo pambaya sana.

Kuhusu hawa wagonjwa kuuzwa naona mpaka sasa dirisha linakaribia kuishia na hakuna biashara japo Kieta anasemwa semwa kutaka kusepa RB Leipzig na Klopp anakomaa dogo abaki yaaani ndio ujiulize anamtaka wa nini.

YNWA
 
Ila Ox kuna baadhi ya mechi huwa anawasha moto
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Huku tunamuongezea Milner mkataba huku tukimpa Le Captain Hendo mkataba wa maisha na kumuanzisha kila mechi.
 
Halafu kizazi kijacho tumekisahau kabisa yani cheki city anavyoandaa missiles
 
Hamjakaa Sawa makundi ya uefa hayo hapo kazi kupiga punyeto tu makombe yanaenda kwa wengine liverpunga miaka 30 EPL moja hii timu au laana fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kale ka msemo kao ka "IMAGINE BEING ASS" siku hizi sikasikii tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu kizazi kijacho tumekisahau kabisa yani cheki city anavyoandaa missiles
Klopp ni muumini wa kutumia wachezaji wale wale mpaka itokee majeruhi ndio utaona heee kumbe Phillips bado yupo Liverpool au Gomez nk...

Kizazi kijacho pale tuna Stefan Bajectic anacheza DM, beki na AM, pia tuna Gordon na kuna dogo anaitwa Musiolowsk ana balaa na mguu wa kushoto mkali sana.. Hawa mpaka sasa walitakiwa wasiwe mbali na kikosi cha kwanza...

Nwa ngoja tuone namna hali inavyosonga.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…