Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.Ultushapigwa
Na ndio pamepwaya hapa kati,madogo wametawala,zinaonekana jezi nyeupe tu[emoji1][emoji119]Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.
YNWA
Liverpool Wamepanda Mtumbwi wa Vibwengo[emoji16][emoji16]
Leo mpaka Fabinho kala sub.Tuna hali mbaya kiufupi..
Maboss zetu fsg nadhani wana undugu na wachaga sio bure.Leo mpaka Fabinho kala sub.
Kutokua na MF za kazi kazi ni kikwazo kwa Klopp kufikia malengo yake Liverpool.
YNWA