Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu gani Liverpool alikaa kileleni Xmas tofauti na ule wa 2014 halafu akakosa ubingwa???...

Dalili ya mvua ni mawingu sheikh hii Liverpool ya msimu huu ndo itakua hatari zaidi kuliko watu wanavodhani maana pale mbele Kuna "wauaji" huku Salah kule Diaz kati kuna mhuni Nunez... Najua ukileta mkeka kule kwenye jukwaa letu pendwa utakua unaipa Liverpool win wwwwwwwwwwwwwwww....

Hahhahhahahahhaha dj mac anasemaga maaaaaaaambo hayo ebwana [emoji16].

Halafu sipati picha mtakavoteseka na white Lukaku wenu Hallangi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway kupanga ni kuchagua YNWA [emoji3590][emoji3590]
 
Kubishana na wewe Ni matumizi mabaya ya akili hujui hata kuwa ...

2018-2019 chrismasi Liverpool alikuwa top of the table na hakuwa bibgwa ...

2019-2020 Liverpool chrismass alikuwa top of the table na alichukua ubingwa

2020-2021 chrismass Liverpool alikuwa top of the table Tena anamzidi city point 5,hapa mlikuwa mmetoka kumfunga crystal palace goli 7-0 na hakuchukua ubingwa ,unajua Nini kiliwakuta [emoji23]ndio maana nikasema wewe huelewi kitu...

2021-2022 , chrismass city alikuwa top na kachukua ubingwa ...!



Umekalali msimu wa 2013-2014,maana hata 2014-2015 alikuwa morihno na Chelsea yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Nunez Ni Lukaku mweupe ngoja ligi iyanze mutamusahau tu.
 
Plastic fans mna tabu Sana kwahiyo msimu ukiaanza ndo man shite itakua Bora [emoji12]. Na msimu huu tutawadunda nje ndani dadeki... Ha huyo Hallangi mtamtoa kwa mkopo kwenda Nottingham forest akapasue mbao...

Rudi nyumbani kumenoga [emoji16]
YNWA [emoji3590]
 
[emoji599] BREAKING: Liverpool wanatazamiwa kumzawadia mshambuliaji Diogo Jota kwa mkataba mpya mnono kama zawadi kwa mwanzo mzuri wa maisha yake ya soka hapo Anfield.
Mazungumzo ya mkataba yanapaswa kuongezwa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno. Jota amekidhi matarajio ya utendaji kazi tangu kuwasili kwake na anaweza kutarajia ongezeko kubwa la mshahara kwa nyongeza yake. Mshambulizi huyo kwa sasa ni majeruhi na atakosa kuanza kwa msimu wa Ligi Kuu wakati Liverpool watakapoanza na Fulham wikendi hii. Ataongeza kasi ya kurejea mazoezini hivi karibuni baada ya kupona jeraha la misuli ya paja. #lfc
 
Hayo makalio Kama t.ako la bunduki kwendaa huko .....huna unalojua kuhusu football ...sibishani na vilaza Kama wewe
 
Pep Lijnders on his scouting process for recruiting Luis Diaz:

"Our scouting department makes very useful videos about the players who could be interesting for our team. We know the ones we really like a long time before it’s in the media." #lfc [lfc]

Lijnders: "The videos contain 15 minutes of analysis about their strengths and weaknesses, but on top of this I always want to watch full games of the ones I really like – the full 95-minute clip, the truth, the phases, the reactions to phases."
 
Plus maisha nje ya uwanja kwa kujenga umoja klabuni.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…