ipi hapo
Halland mwenyewe anacheza sebeneMpo na city ,nasikia Allison hayupo ?
Kwahiyo Halland leo anajisosomola tu
Anaruka ruka tu 🤣Halland mwenyewe anacheza sebene
Kwani kaanza huyo jamaa? Maana dakika hizi 45 sijamuona uwanjani nilijua yupo subHalland mwenyewe anacheza sebene
Sub wapi? Anazunguka uwanja [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kaanza huyo jamaa? Maana dakika hizi 45 sijamuona uwanjani nilijua yupo sub
Na hilo la 3 unataka kusemaje sasa,,🤣