Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh kwa hii MF mbona kazi ipo sanaaaaaaaa.

Klopp asiwe mbishi kwenye hili

YNWA
 
Hivi nani anaejua huyu dogo Bellingham anatuletea nini anijuze nielewe maana namuona tu ni kama Henderson mwenye umri mdogo kiana..

Nashindwa kuelewa mpaka sasa kweli Klopp anaamini kabisa ana injini pale kati (MFs) kuzima jamaa wa Ethad kuifanya EPL kua Farmers League..

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Et Henderson mwenye umri mdogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mwanangu anapaishwa sana na media za uingereza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mwanangu anapaishwa sana na media za uingereza
😂😂😂😂Yaaaaani nikitazama talent za ukweli Ufaransa, Uhispania na Ureno aafu unasoma eti Bellingham anasubiriwa mpaka June 2023 mh sioni cha kusubiri...

Klopp namuamini sana lakini kwa Bellingham nina wasiwasi sana.

Kweli bhana kama Sancho.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…