Benfica president Rui Costa on Darwin Nunez transfer:
"When we heard Liverpool were interested we were hoping to get 40-45 million as Darwin had a good season.
Two days later we received a official faxed bid of €80m with add-ons from Liverpool. The room erupted into laughter. I told my assistant to fax back asking for €100m with add-ons. Next morning a new bid worth €100m in total arrived.
The world has gone crazy, we had better strikers in our youth team. I ordered my assistant to open a bottle of champagne, it felt like we had won the lottery"
[Via @pedromsepulveda]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe yamepigwa bhna
Sterling aliwataka Chelsea ndugu na sio Liverpool....kiukweli dogo Nunez kanunuliwa bei kubwa kuliko uwezo wake, sera ya FSG ni ya kiboya, walishindwa hata kumrudisha Sterling mwenye uzoefu tayari na EPL
kiukweli dogo Nunez kanunuliwa bei kubwa kuliko uwezo wake, sera ya FSG ni ya kiboya, walishindwa hata kumrudisha Sterling mwenye uzoefu tayari na EPL
Salah tangu atue Liverpool anapiga goli 20+ kila msimu EPL sasa unadhani huyu babu mtarajiwa ataweza kumzuia Salah...
Niseme tu pale K kama ataleta mpira wake wa Napoli basi pengo la kisiki Rudiger wala hamtakiona maana dogo anajua sana kusoma gemu kwa utulivu sana.. Kuna kipindi Klopp alimtupia macho lakini bei ikawa kikwazo kabla ya corona.
YNWA
Sterling aliwataka Chelsea ndugu na sio Liverpool....
Na kingine uelewe pia Pep anajua fika mshindani wake ni Liverpool hivyo hawezi kutuuzia mchezaji kutufanya tuwe imara zaidi...
Nina imani kubwa sana na Nunez bila kutazama bei yake atafanya vyema tu ni suala la muda baada ya ligi kuanza mtamwelewa tu wenzetu Barcelona wanajilaumu wenyewe maana wakati anacheza Spain walitonywa na Surez wamsajili tena kwa ela ndogo tu ya £20m wakagoma matokeo yake akinunuliwa Benfica na sasa ni hot property kwa kiwango na bei pia ambayo kwa Barcelona hawana huo uwezo tena...
YNWA
kwa Allison, VVD hatukusema hivo sababu uwezo wao ulikua unaonekana kabisa , wakati Barca wanavunja benk kwa suarez unaona kabisa bei sahihi, kwa Keita tulisema tumepigwa na kweli tumepigwa, hata Nunez pia tumepigwa kwa hiyo bei,Tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo sana Aisee,(tumeanza kuwa kama Mashabiki wa Manyumbu),mara nyingi tumekuwa watu waelewa sana ila sasa hivi tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo kuwahikutokea kisa tu tumerudi tu kwenye ubora wetu, hapo ni dhahili kuwa watu wanachuki binafsi mechi moja tu eti tumepigwa?.
Me naimani na Nunez 100%, sasa hivi tumekuwa kama wehu vile Mashabiki wa Liverpool ,Nunez atawaprove wrong tu.
Salah kunakipindi alicheza mechi 7 bila kufunga lakini bado tulimpenda lakini sasa kwa Nunez washabiki hovyo wa Liverpool watakuja kumlaumu,navyojua mimi Mashabiki wa Liverpool hatuko hivyo.
Wapinzani nashangaa kama tumepigwa sisi kuhusu Nunez sijui kwanini wanaumia?maana sisi hatujajisifia kama Nunez noma sana,sisi tumekuwa kimya tu wao ndio wanaongeA.
Hizo kelele zao zisije kutufanya sisi kujiona tumekosea wala kujiona timu ya kawaida,sasa hivi wapinzani wanaumia sana tunavyopata matokeo.
Sasa hivi tumeanza kuchukiwa sana na Mashabiki wa timu zingine zote.
Dah! Kiukweli nilicho kiona mimi tumemnunua kwa lesa kubwa lakin sidhani kama atakuja kuwa mchezaji bora ukilinganiaha na pesa tuliyo toa, Darwin Nunez ni mchezaji wa kawaida sana na huyo ilitakiwa anunuliwe kwa £40-£50 sasa kwa £100m hapo tumepigwa.Mkuu acha hasira Klopp atamuweka sawa tu in Klopp we trust labda hakose kujiamini kama wachezaji wengine,lakini kama anajiamini atakuwa vizuri sana tu.
Mapema sana hata ligi haijaanza?hata vvd ,allisson wanazinguaga kwenye mechi moja halafu tunabaki tuna walaumu tu.
Sema Mkuu ujazoea ukiona tukisajiri wachezaji wa gharama sana, lakini ni sisi wenyewe tulikuwa tunataka tuwe tuna sajiri na sio kuwa wabahili na wakati sasa hivi sisi tuna hela.
Kikubwa kupata matokeo pale tunApo hitaji .
Hatutakiwi kabisa kuwa na wasiwasi.
Tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo sana Aisee,(tumeanza kuwa kama Mashabiki wa Manyumbu),mara nyingi tumekuwa watu waelewa sana ila sasa hivi tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo kuwahikutokea kisa tu tumerudi tu kwenye ubora wetu, hapo ni dhahili kuwa watu wanachuki binafsi mechi moja tu eti tumepigwa?.
Me naimani na Nunez 100%, sasa hivi tumekuwa kama wehu vile Mashabiki wa Liverpool ,Nunez atawaprove wrong tu.
Salah kunakipindi alicheza mechi 7 bila kufunga lakini bado tulimpenda lakini sasa kwa Nunez washabiki hovyo wa Liverpool watakuja kumlaumu,navyojua mimi Mashabiki wa Liverpool hatuko hivyo.
Wapinzani nashangaa kama tumepigwa sisi kuhusu Nunez sijui kwanini wanaumia?maana sisi hatujajisifia kama Nunez noma sana,sisi tumekuwa kimya tu wao ndio wanaongeA.
Hizo kelele zao zisije kutufanya sisi kujiona tumekosea wala kujiona timu ya kawaida,sasa hivi wapinzani wanaumia sana tunavyopata matokeo.
Sasa hivi tumeanza kuchukiwa sana na Mashabiki wa timu zingine zote.
Nyie halafu tutofautishe...Nunez hajanunuliwa kwa £100....Kanunuliwa kwa €85+adds on €15...ambazo hizi zinalipwa kulingana na performance yake....hizo €85..ni sawa na £68.Dah! Kiukweli nilicho kiona mimi tumemnunua kwa lesa kubwa lakin sidhani kama atakuja kuwa mchezaji bora ukilinganiaha na pesa tuliyo toa, Darwin Nunez ni mchezaji wa kawaida sana na huyo ilitakiwa anunuliwe kwa £40-£50 sasa kwa £100m hapo tumepigwa.
Kweli kabisa brooo....Tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo sana Aisee,(tumeanza kuwa kama Mashabiki wa Manyumbu),mara nyingi tumekuwa watu waelewa sana ila sasa hivi tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo kuwahikutokea kisa tu tumerudi tu kwenye ubora wetu, hapo ni dhahili kuwa watu wanachuki binafsi mechi moja tu eti tumepigwa?.
Me naimani na Nunez 100%, sasa hivi tumekuwa kama wehu vile Mashabiki wa Liverpool ,Nunez atawaprove wrong tu.
Salah kunakipindi alicheza mechi 7 bila kufunga lakini bado tulimpenda lakini sasa kwa Nunez washabiki hovyo wa Liverpool watakuja kumlaumu,navyojua mimi Mashabiki wa Liverpool hatuko hivyo.
Wapinzani nashangaa kama tumepigwa sisi kuhusu Nunez sijui kwanini wanaumia?maana sisi hatujajisifia kama Nunez noma sana,sisi tumekuwa kimya tu wao ndio wanaongeA.
Hizo kelele zao zisije kutufanya sisi kujiona tumekosea wala kujiona timu ya kawaida,sasa hivi wapinzani wanaumia sana tunavyopata matokeo.
Sasa hivi tumeanza kuchukiwa sana na Mashabiki wa timu zingine zote.
Pathetic ndo hoja?? bishana kwa hoja kipi mane anatoa Diaz hakupiKuna mdau humu anasema "Diaz anaoffer vyote alivyokuwa anaoffer Mane."
Pathetic!!
Yaan mmeshafikia kumfananisha mane na Diaz, seriously?Pathetic ndo hoja?? bishana kwa hoja kipi mane anatoa Diaz hakupi
"Pathetic"
Kwa hiyo Mane =Diaz?Pathetic ndo hoja?? bishana kwa hoja kipi mane anatoa Diaz hakupi
"Pathetic"
Mane alichomzid Diaz ni experienceKwa hiyo Mane =Diaz?
na ufupiMane alichomzid Diaz ni experience
Kivipi kwenye mechi za majaribio? mpeni muda aelewane na timu na mfumo wa timu. Alikotoka walikuwa wanacheza counter attacking football hapa ni gegen press. Alivyo kuja Fabinho, Robbo walichukua muda sasa jeYaan mmeshafikia kumfananisha mane na Diaz, seriously?
Diaz bado anautoto mwingi, kila mda anataka apige chenga na ashoot kufunga.
Ila kw Nunez tumepgwa tukubali.
Nunez anatakiwa kuwa defender maana anajua kuzuia kuliko kufunga [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]Maajabu shabiki wa Liverpool anamkosoa mchezaj wake mpya ambaye ndio kwanza anaongizwa kwenye mfumo kumbuka Nunez anatoka ligi tofaut bado hajaingia kwenye mfumo
Subirini ligi zianze ndio muanze kukosoa binafs namuona akijichukulia utawala wake ndan ya Liverpool Mondela kuwa mpole huna uvumilivu huwa nakuona hata timu ikitanguliwa kufungwa utalaumu na kutoa maneno yote nakumbuka mech ya nusu fainal uefa kule Spain tulivyoyanguliwa gol 2 ulionesha udhaifu mkubwa Sana kana kwamba umeanza kuishabikia timu jana
N swala la muda tu Nunez anakuja kutawala soka la uingereza
Adui yako mwombee njaa ndio hawa wapinzani wetu walivyo ndugu... Tangu atue Klopp tupo ki ushindani kinoma yaaani hata majeruhi yakiwa kama msimu wa 2020 2021 bado tulitoka salama Big 4 tena kwa goli la karne la Allison vs The Baggies...Tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo sana Aisee,(tumeanza kuwa kama Mashabiki wa Manyumbu),mara nyingi tumekuwa watu waelewa sana ila sasa hivi tumeanza kuwa Mashabiki wa hovyo kuwahikutokea kisa tu tumerudi tu kwenye ubora wetu, hapo ni dhahili kuwa watu wanachuki binafsi mechi moja tu eti tumepigwa?.