Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii mechi leo inaweza kusababisha kukatokea majanga makubwa sana uwanjani, Ufaransa inaonekana haikujiandaa ni kama vile imeshtukizwa tu mashindano kufanyika kwao.
Uwanja umeshajaa na bado kuna mashabiki wengi sana wapo nje ya uwanja wana force kuingia ndani,
Wengine wameshafanikiwa kuruka viunzi na kuingia uwanjani kwa nguvu, nje kuna nyomi kubwa sana la watu na inaelekea ulinzi umekua mdogo kiasi kwamba wanazidiwa nguvu na mashabiki.
 
Upo uwanja I nn wazungu hawna hzo mbishe za kishamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…