Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game gani aliyouza?yaan kuwakazia ndio kuuza game?hiyo bhang achana nayo
 
Washabiki wa madrid wa kukod mna maneno nyie, hata hao madrid wanajua kuwa hawakutani na bilbao
Uko sahihi kabisa wala hujakosea sisi nimashabiki wa kukodi wa Madrid,tunawaombea mabaya Liverpool, nalazima mchinjwe leo hamponi.
 
Jamani channel gani ndani ya king'amuzi cha azam inaonyesha game ya Real Madrid na Liverpool?
 
Raha sana leo,Ubingwa wa 7 unakuja
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…