Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
"pep kushinda epl tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man city " kama hio tuzo ni ya PL na pep kachukua PL unataka mafanikio gani Tena [emoji23]...Unateseka ukiwa wapi nilishasema PEP kushinda EPL tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man shity
Huyu kafanya Nini cha maana kwenye PL,achana na Mambo sijui fa,carabao CL ....hiii ni PL ,ifike mahali epl nao watumie akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Pep kampiga chini klopp kwa kuwin PL na ndio alitakiwa kuwa manager of the season .....
Hii tuzo ni ya huruma tu , [emoji28]
Nawee babuuu ni shabiki wa livakuku? Real? [emoji23][emoji23][emoji23]Unafanya nini kwenye huu uzi wa wanaume wa nguvu, husband material na watakatifu wenye siti zao mbinguni?
Sasa unadhani mimi sina akili? Mtu yeyote mwenye akili lazima ashabikie Bwawa la Maini. Si unajua Jogoo moja linaweza kugegeda mitetea kumi kwa siku? Na mgegedo mmoja tu mtetea unaweza kutaga mayai 10.Nawee babuuu ni shabiki wa livakuku? Real? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yako kuwa manager of the year hawaangalii tu EPL wanaangalia na mafanikio kwenye performance nyingine kama Kushinda domestic cups, Kupandisha timu daraja wapigaji kura ni makocha wenzako"pep kushinda epl tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man city " kama hio tuzo ni ya PL na pep kachukua PL unataka mafanikio gani Tena [emoji23]...
Kama ni uefa Wana tuzo zao na pep hawezi pata ,klopp alitakiwa asubili hio uefa tu
Kuna mwaka nahisi kama sio 98 taifa stars ilikuwa timu bora ya mashindano ya challenge wakati iliishia nusu fainali"pep kushinda epl tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man city " kama hio tuzo ni ya PL na pep kachukua PL unataka mafanikio gani Tena [emoji23]...
Kama ni uefa Wana tuzo zao na pep hawezi pata ,klopp alitakiwa asubili hio uefa tu
Mkuu hivi yanga akichukua ubingwa harafu kocha Bora wa msimu hapa NBC premium league anaweza kupewa Pablo kweli ??Kuna mwaka nahisi kama sio 98 taifa stars ilikuwa timu bora ya mashindano ya challenge wakati iliishia nusu fainali
Mwambie pia nayeye anaweza gegedwa maana sinimtetea? Maana anakatiza katiza kwenye nyuzi za majogoo na kanga moko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unadhani mimi sina akili? Mtu yeyote mwenye akili lazima ashabikie Bwawa la Maini. Si unajua Jogoo moja linaweza kugegeda mitetea kumi kwa siku? Na mgegedo mmoja tu mtetea unaweza kutaga mayai 10.
Sasa niache kuwa jogoo ili nigegedwe? Liverpool ni Jogoo wengine wote mitetea
Au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepoteaa babuuuh, poleeeeehSasa unadhani mimi sina akili? Mtu yeyote mwenye akili lazima ashabikie Bwawa la Maini. Si unajua Jogoo moja linaweza kugegeda mitetea kumi kwa siku? Na mgegedo mmoja tu mtetea unaweza kutaga mayai 10.
Sasa niache kuwa jogoo ili nigegedwe? Liverpool ni Jogoo wengine wote mitetea
Au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie pia nayeye anaweza gegedwa maana sinimtetea? Maana anakatiza katiza kwenye nyuzi za majogoo na kanga moko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani kesho Ni mbali mkuu??? Ndo tutajua Nani atagegedwaSasa unadhani mimi sina akili? Mtu yeyote mwenye akili lazima ashabikie Bwawa la Maini. Si unajua Jogoo moja linaweza kugegeda mitetea kumi kwa siku? Na mgegedo mmoja tu mtetea unaweza kutaga mayai 10.
Sasa niache kuwa jogoo ili nigegedwe? Liverpool ni Jogoo wengine wote mitetea
Au nasema uongo ndugu zangu?
kmmke wallaah klop hajawahi hata kuwa kocha bora wa msimu alafu kawa kocha bora wa msimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Epl hawampendi Pep
Ligi ni kuchukua makombe mzee unakuaje bora wakati kuna mtu juu yako kabeba hilo kombe mlilokuwa mnashiriki tena kakuzid point na magoal ikiwa mmecheza idadi ya mechi sawa?Klopp kafungwa mechi mbili tu na tofauti ya point moja tu na bingwa.
Kwanini asiwe kocha bora?
Klopp kafungwa mechi chache mechi 2 Msimu mzima,kwanini asichaguliwe kuwa kocha bora wa msimu.
Mourihno alichukua ubingwa na chelsea mara ya mwisho lakini hakuwahi kuwa kocha wa mwezi hata mara moja lakini ndio kachukua kombe.
Ndio umeandika nini sasa hapakmmke wallaah klop hajawahi hata kuwa kocha bora wa msimu alafu kawa kocha bora wa msimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Epl hawampendi Pep
Tuzo ni ya Kocha bora England nzima sio kocha bora wa EPL. Sasa kwa msimu kati ya PEP na Klopp nani bora hapoyaaan anaemaliza wa kwanza anakuwa sio bora kwa aliemaliza wa pili tena ikiwa kamzidi Point na magol