Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


That's why nimetumia neno unnecessary rotation
 

Msimu huu sina cha kuzungumza tena nimeshafunga mazungumzo kuhusu kujadili chochote kinachohusiana na msimu huu kwani umeshakamilika na irreversible.

Hivyo nakijikita na Mijadala ya Next season.

Utabiri wangu Msimu ujao kwa Ligi zifuatazo Mabingwa ni:-
1) EPL - Man City/Liverpool 50/50
2) Laliga - R. Madrid
3) Bundesliga - Bayern
4) League 1 - PSG
5) Serie A - Juventus
6) UCL - Liverpool
7) Uropa - Man United
8) Conference - Unpredictable

Ni Utabiri tu huu manake unaweza kushangaa akatokea Mtu akabishana utadhani imeandikwa kwenye Qur-an au Bible.
 
Tulikosa Ubingwa kwa points 95
Tumekosa Ubingwa kwa points 92

Hii hali tusiichukulie poa kiukweli Tumetengeneza Timu nzuri katika 'Wrong Era'.

Kwa point hizo tangekuwa kwenye Kipindi sahihi basi tungebeba Ubingwa mara zote 2 kwani wenzetu walibeba Ubingwa kwa points kati ya 82 na 85.

Hivyo next season target yetu iwe ni kukusanya points 95+.

Hizo ndiyo Standard alizoziweka PEP.
 
Kwahiyo ujio wa Halland ndio utabadilisha kila kitu? Kama akina messi wameenda psg na hakuna walicho badilisha ndio itakua huyo halland? Mpira ni akili bhana.
 
Sasa sisi tukifalijiana wewe unaumia nini? Mafanikio yetu tunayopata sasa hivi mnatuchukia pasipokuwa hata na sababu ya msingi.
Wao waongee tu kuwa Liverpool ni habari nyingine, hatuna classic players lakini tunapambana na kuonesha ushindani juu ya city ambae anachukua classic players tena kwa kuanzia 100M € nakuendelea lakini sisi ni 40M € na kuendelea sasa sijui hawaoni aibu kwa kubishana na sisi?
 
Mchezaji yupi nyie ambaye sio class player? Ko Maherez ni class player kuliko Salah au Mane, au Stone ni class player kuliko Vvd au Calcelo ni class player kuliko Robertson. Kuweni serious na visingizio vyenu. Mnawachezaji wazuri na mna timu nzuri jivunieni. Sema mna bahati mbaya mmekuja kipindi Cha utawala wa Pep Epl
 
Mkifikisha hio target ya 95+ mtamkuta kipara tayari ana 100+

Kilichomleta kipara EPL ni kuwafundisha jinsi ya kutanua msamba, na kwenye kujifunza kutanua msamba kuna mawili aidha uchananike phumbu na au ufanikiwe kutanua hadi mwisho hali itakapelekea na kile kitundu kingine nacho pia kitanuke na mlango ushindwe kufunga vizuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…